Bado Nazidi Lyrics
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Tumeni hooks ju mi ni fisherman
Mimi na fisher men
Wengi wafishy chini ya maji eey
Si tunazidi men
Kama huradi pewa uradi si tuko street babaa
Wenye matire, wenye mashash mababi maodi walai eeh
Wananidai walai eey, hadi kwa baze walai eey
Wenye masilver, wenye magoro mababi maodi walai
Kama uradi baadae eey, ka si ya Mungu sidai eey
Venye wanabonga utadhani wanajua
Kumbe waradi, eey eey
Knock knock fungua milango bro
Ukimada race hebu press button
Vision yangu pia tunnel bro
Buda sibishani ni mi and my goals
Bora Yesu ndani mtiaji go
Pace yangu mi simove na wathii
Ace to damn mi hukeep it G
Jina sacco area uliza Sadiq
Sidai, looks za ukristo bila power
Form za mababi bila ganji mmh sidai
Life ya kuchocha bila kazi
Form za kumove bila Yesu mmmh sidai
Form za kuishi kama Yesu hatarudi
Kata kata kata mmmh sidai
Mob justice walitokanga kwa street
Sai wako twitter wanafield
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Holy holy Dave is the name
Hiphop is the game
Am covered by God's grace
Sikia vile narap with grace
Ah Muiya nipe beat, aah this is some heat
Hiphop serious, and Sadiq you are genius
Am trynna stay focused like any Kenyan runnawood
They doubting me but it's okey they doubted Jesus, doubted Eliud
On the same track but we not in the same lane
This are not the same coz I come in his Name
Slow progress is progress still
You can go slow shida ni kustay still
Sometimes ni heri kobe kuliko cheeter
Get it 'Cheater' kutangulia si kufika
And when you race, do it at your pace
To all the naysayers watch us do it in your face
They on your case, you are covered incase, by God's grace
So just run, run tun your race
And when you race, do it at your pace
To all the naysayers watch us do it in your face
They on your case, you are covered incase, by God's grace
So just run, run tun your race
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Kila siku niko studio
Kazi ni masingle ni ka mtu hananga manzi
Holydave cheki anabonga kilami
Ye ni mkamba wa hapa Nzilani
Ndo nimeanza kufikiria ka wazazi
Ka umeokoka morio wazi
Ka unapenda God sana wazi
Ye ndo alifungulia milango wazi
Genge ama trap bado kazi
Gikosh ama Gucci bora mavazi
KDF mahamri zote mandazi
Simple Boy, Usher bora huzzy
Ha! Sinyamazi
Boy hauwezi jicompare na manzi
Ka ni boy tunamwiita paparazzi
Ka ni dem mbona si mamarazzi
Mi nazitrophy sifa za Sofi
Bado nafanya injili
Bila marijuana, hizi ma award kuhata mara mbili
Best artist nilihata mara ya kwanza mara ya pili
Mziki si views, mziki si doh, mziki si lazma milli
Wasee wa android
Siwezi waambia secret zangu mimi
Utaambiaje msee mwenye hana iPhone Siri
Natamani kama nimetoka Consolata
Devil amenicall amenihata
Wasanii jo wajue niko Kenyatta
Hata unikimbize hutanipata
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
Bado nazidi toka teke toka mbio
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Bado Nazidi (Single)
Copyright : (c) 2020 Genius Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DJ SADIC
Kenya
DJ Sadic is an artist/Dj/ Entrepreneur from Kenya. CEO of Genius Records. ...
YOU MAY ALSO LIKE