Kijito cha utakaso Lyrics
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana anao uwezo kunipa wokovu
Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Viumbe vipya naona damu ina nguvu
Imeharibu uovu ulionidhulumu
Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu
Na Bwana Yesu kumjua Yesu wa msalaba
Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Kijito cha utakaso Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakas
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kijito cha utakaso
Copyright : ©2019
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE