Home Search Countries Albums

Majaribu

DEUS DERRICK

Majaribu Lyrics

Uuuuuuh uuuuh uhhh
Deus derrick eeeehh mara nyingine
Sauti  Yanuruuhh aah 
Majaribu majaribu majaribu

Mwenzenu kila nisomapo bibilia
Ninapatwa na maiaribu  nashindwa kusoma
Mwenzenu kila nisomapo bibilia
Ninapatwa na maiaribu  nashindwa kusoma
Mbona nikisoma gazeti hata saa Namiliza 
sazingine namaliza natami kusoma nyingine

Majaribu kwetu sie wakristo inatupima Imani 
Jee tunamwomba huyu Mungu kwakeli au tuna bahatisha
Majaribu kwetu sie wakristo inatupima imani
Je tunamwomba huyu mungu kwakeli au tuna bahatisha
Ndugu weeeh nikuombah mamaweeeh nikuombaa
Ili ushinde majaribu ngugu weeeh nikuomba
Ndugu weeeh nikuombah mamaweeeh nikuombaa
Ili ushinde majaribu ngugu weeeh nikuomba
Tena mimi nikitoka kanisani kusikiza neno la mungu 
Nimeyatilia  maanani tena nimeeelewa kabisa
Tena mimi nikitoka kanisani kusikiza neno la mungu 
Nimeyatilia  maanani tena nimeeelewa kabisa
Nifikapo njiani majaribu tena yananianza 
Msichana mrembo kupita macho yangu yote kwake
Aaaah neno la mungu nalitupilia mabli nasahau yakuwa
Nimztoka kanisani.nasahau yakuwa nimetoka kanisani

Majaribu kwetu sie wakristo inatupima Imani 
Jee tunamwomba huyu mungu kwakeli au tuna bahatisha
Ndugu weeeh nikuombah mamaweeeh nikuombaa
Ili ushinde majaribu ngugu weeeh nikuomba
Ndugu weeeh nikuombah mamaweeeh nikuombaa
Ili ushinde majaribu ngugu weeeh nikuomba
Mbona nikisoma gazeti hata saa
Namiliza sazingine namaliza natami kusoma nyingine
Ah majaribu yanifanya najitenga naye mungu
Aaaaahh aaaaah lalalala ayayayaya mamama majiribu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Majaribu (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DEUS DERRICK

Kenya

Deus Derrick  real name Derrick Otieno Adem is a Gospel minister, Song writer, performing ...

YOU MAY ALSO LIKE