Home Search Countries Albums

Kiroho Safi Lyrics


Nina luku safi kama maji yenye waterguard
Niko pissed na wana ndio maana sina bodyguard
Sura kazi roho safi kama rastaman
Nachoma nyasi sichomi blunt inaniweka mjini

So mwanangu kwenye kichwa changu hauna folder
Na kucrop kwenye picha kama hauna faida
Nishazoea kupitisha kuishi ni ya soda
Kwetu sio guest na wala haitupi stress yoh

Habari za majungu tushaziacha jikoni
Tunaishi kizungu kama watu wa mamtoni
Namuomba Mungu mpaka siku za usoni
Tuishi kama ndugu isitokee tafarani

Hivi ndo tulivyotoka day 1 we met
Wana tupo simple na tunaishi tu peace
Kukosana kukwela hatuwezi separate
Because na wanangu tunaishingi tu

Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Mimi na wanangu
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Tunavyoishi na wanangu 
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Mimi na wanangu
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 

Nimehitimu chuo ila niko tu mtaani nakunywa cooker
Naona mtoto wa jirani anavuta shuka
Life tiff wala hakinuki japo mnashuta
Mbele ni ka niko na hangover ka brandy cooper

Sina hata bundle niko na reminisce
Jirani taarabu ameweka kwa repeat
Kiroho safi sina complain ndo navyoishi
Hata hizi shpuppy zinabargain so babaishi

Na mwanangu wakisha si siti kumtoa celo
Turudi mtaani tukaball kama melo
Ukiskia mikono juu mwendo wa mateka ujue telo
Kiroho safi tumeguzwa na bagia
Kiroho safi hata kete tunabugia
Na wakibana tunapenyeza hata rupia
Na mashimo tunafukia nigga 

Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Mimi na wanangu
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Tunavyoishi na wanangu 
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Mimi na wanangu
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 

(Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi)

Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Jitu flani
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Ah Centrozone Eastzoo baby
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 
Kiroho safi, kiroho safi, kiroho safi 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kiroho Safi (Single)


Copyright : (c) 2021 Majengo Sokoni Music


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DAVY CODEMAN

Tanzania

Davy Codeman is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE