Home Search Countries Albums

Ouch Lyrics


You took a note never leave my side
Tutakuwa pamoja forever and ever baby boy
So why do this to me, umeniwacha na makovu
Jeraha na vidonda na machungu
Sitaridhia baby boy

Siri za chumbani unaziweka hadharani
Kama mtumba Gikomba
Yangu roho unaichana chana
Magoli sumu unawapa nafasi waniteke

Nikiona ukitembea na yule
Ukicheka na yule, aah
Unani ouch unaniumiza aah

Unani ouch!! unaniumiza
Ouch!! unaniumiza
Unani ouch!! unaniumiza
Baby 

Unani ouch!! unaniumiza
Ouch!! unaniumiza
Unani ouch!! unaniumiza
Baby 

Hee, I got a photographic memory
Nakumbuka ukiniahidi utanipenda yako yote
Siku zote

Nikaacha wengine juu yako baby
Why do this to me, ooh oh
Baby eeiyee, oh no oh no
Baby

Si uliniahidi kujitenga nao
Ila ushanigeuzia mbona yawe haya
Unanicheza hata bila haya

Si uliniahidi kujitenga nao
Ila ushanigeuzia mbona yawe haya
Unanicheza hata bila haya

Unani ouch!! unaniumiza
Ouch!! unaniumiza
Unani ouch!! unaniumiza
Baby 

Unani ouch!! unaniumiza
Ouch!! unaniumiza
Unani ouch!! unaniumiza
Baby 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ouch (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CURY MATATA

Kenya

Cury Matata is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE