Home Search Countries Albums

Katika

CJAMOKER Feat. P MAWENGE

Katika Lyrics


Napendaga unavyokikata yaani mpaka nadata
Unaumiza machizi wanawaza nini watakupata
Miuno ya fasta fasta mi nikikukamata
Linakuwa bonge la movie yaani kama kwenye kibao kata

We mtoto ni noma kwenye zile nane kagoma
Wanakisahaulisha watosa wanapakazia utanipa ngoma
Mi wala sisikii yaani kama Jux kwa Vee
Kwako nishafika sijali ngoma, cancer wala TB

Ukipita kitaani kila kona wanapiga miluzi
Maana uko uwani umelifunga shia bonge la shuzi
Nipo sehemu flani na nishakutupia sana michuzi
Daily wanakutamani sing to wewe jana na juzi

Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 

Baikoko unavyolicheza kama hana mfupa
Kiuno kinavyolegezwa huku nyuma ni shida
Hilo dera anavyolimeza machizi ni macho kodo kodo
Na wana makengeza dem mrembo kwenye mchezo

Mpaka ninaogopa akileta pigo zake za mitego
Na kucheza na nyoka utasema kinywani hana magego
Anavyonikosha chocho zote ni mtelezo
Kila chaka anajitosa mwenzenu nimeshampata

Yule anayemtaka, anavyonipeleka fasta
Mi nabaki tu kusema swadakta
Yaani kitu shatta shatta sio chapa chapa
Wala sifanyi ajizi nikishapewa nakita haswa

Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 

Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 
Ka katika, Ka katika 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : katika (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CJAMOKER

Tanzania

Cjamoker is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE