Accueil Recherche Pays Albums

Moyo Furahi

CHRIS MWAHANGILA

Moyo Furahi Lyrics


Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea 

Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea moyo
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Peleka sifa zako kwa bwana

Kama asingekuwa ni Mungu
Tusingekuwa hapa tulipo
Kama asingekuwa ni Mungu
Tusingekuwa hii tulivyo
Kama asingekuwa ni Mungu
Tusingepata haya mazuri

Tuko hivi tulivyo
Kwa mkono wa Mungu
Tuko hivi tulivyo
Kwa msaada wa Mungu
Tuko hapa tulipo
Kwa mkono wa Mungu

Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea 

Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea moyo
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea moyo
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Peleka sifa zako kwa bwana

Ooh haikuwa rahisi 
Kupita katikati yao
Ooh haikuwa rahisi 
Kushinda yale majaribu
Ooh haikuwa rahisi 
Kufaulu ile mitihani

Kumbe Mungu yeye ni ushindi wangu
Tena Mungu yeye mtetezi wangu
Kumbe Mungu yeye ni ushindi wangu
Tena Mungu yeye mtetezi wangu

Amefanya njia mahali pasipopitika
Farasi na mpanda farasi wote wameangushwa

Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea 

Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Moyo furahi, moyo furahi
Moyo furahi Mungu amekutendea moyo
Moyo imba, imba moyo imba
Mungu amekutendea moyo
Peleka sifa zako kwa bwana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Moyo Furahi (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHRIS MWAHANGILA

Tanzanie

Christopher Mwahangila is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE