Nisife Moyo Lyrics
Nipe moyo safi
Niondolee watiaji
Umenivisha taji
Ukaniweka kando ya maji
We nena, we nena
Nitasikia
We sema, we sema
Nimetulia
Wewe ndio ulisema
Kamwe hutochelewa
Na kwa yote umenifunza
Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo
Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo
Moyo wouwoo, moyo wouwoo
Moyo wouwoo, wewe wewe eh
Nipe understanding
Kwenye siku za kiangazi
Hii muziki ndo kazi
So wacha nikuimbie Daddy
We nena, we nena
Nitasikia
We sema, we sema
Nimetulia
Wewe ndio ulisema
Kamwe hutochelewa
Na kwa yote umenifunza
Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo
Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo
Nikumbushe neno lako
Nisife moyo
Na unionyeshe wema wako
Nisife moyo
Mikosi haikosi
Na siku za majonzi
Jionyeshe uwezo wako
Nisife moyo
I'm high on your love
Yes I'm high on your love
So high on your love
Yes I'm high on your love
I'm high on your love
Yes I'm high on your love
So high on your love
Yes I'm high on your love
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : With Love Charisma/ Nisife Moyo (EP)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHARISMA
Kenya
Kenyan musician Fidel Shammah known as Charisma aka Luhya Heat and Mr Sababisha is a pop artist who ...
YOU MAY ALSO LIKE