Dryspell Lyrics
Hao watoto kuna vile wanakam near
On time mi nakemba mi napik dear
Rungu yangu noma bado inalack gear
Chunga usije ukapigwa mboko bila gear
Hiki kimbichwa ni kiyoung
Pedi wangu kuziunda mi napiga warm up
Wanjege wanadai kuzipiga locker
Unaringa mi siringi kwanza paka make up
Nikisanif pande yangu manze sitaki joker
Dryspell, ah ah ah
Dryspell, ayayayayaya
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Dryspell, eeh tuko dryspell
Dryspell, ah-ah
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Leo manze jo niko mboka
Form za waroro zimejipa
Ni game tu kwa brain bila doba
Ni chocha jo piga topper
Mi naingisha haga zikienda zigizaga
Zikishika basi tunaleta mitishamba
Songea songea ebu mami karibia
Ukipanda tu kwa meza haga zinabubble
Mseiya tunasere kwenye moshi tunajiggle
Shika manzi fiti ikiweza mnamingle
Dem wa shisha akija life nae itake simple
Dem wa shisha akija namshow siko single
Sipendagi madramas, sipendagi maskunkers
Sipendagi mafala mi hupenda tu wajanja
Dryspell, ah ah ah
Dryspell, ayayayayaya
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Dryspell, eeh tuko dryspell
Dryspell, ah-ah
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Naunguza kila siku kwa baesa
Wanadhani namada pesa
Wanadhani namada hela
But jo niko mboka
Jua kutesa nitatesa
Ju kuteka nitateka
Jo wakoba tutafyeka
Kila siku kujibamba
Acha hizo buda boss
Naskia mkoba wangu ako dry
Acha hizo bana jo
Form za urazi hatudai
Form za ujinga hatudai
Niko kwenye keja
Jo tunakata na ma shh-ssh
Aah aaah
Ni kimbichwa ni kindom
Piga puff, piga shash
Ni mapuff pass
Buda boss kanatamba
Buda boss ni katambe
Piga dry ikizidi piga wine
Mi ni bantu, pima 1-2
Uliza Gwaash vile ye huwacarry
Ni tutoto tu tudogo tumeshona
Si lingala ni malightskin
Dryspell, ah ah ah
Dryspell, ayayayayaya
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Dryspell, eeh tuko dryspell
Dryspell, ah-ah
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Huwezi ingia dancefloor kama hujalewa
Nina top nina jog, kama gun nina shot
Naona toto ninacheck, nakakuta kamechill
Zake ni mandom kakishika piga chok
Nimekam kibazenga nimekam kuwachenga
Mpira kwenye meza, iza jo mtahema
Nema ndio mimi ata mkam na wahenga
Mrembo we ndo unawatesa
Middle finger nawa fake
Buda boss kanawaka
Buda boss kanatamba
Mi stahama kuwajenga
Chini chini nakamada
Dryspell, ah ah ah
Dryspell, ayayayayaya
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
Dryspell, eeh tuko dryspell
Dryspell, ah-ah
Dryspell ni ku dryspell
Hawa watoto jo wako dryspell
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Dryspell (Single)
Copyright : (c) 2019 Otomars Entertainment
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE