Home Search Countries Albums

Bad Boyz Club Lyrics


Yo! Yo! Kwani ni Kesho?
Skia, kwani ni Kesho
(ALex Focus)
Yo! Tano Nane
Swipe, swipe, swipe Gang
(Gotta be done)
Kwani ni Kesho
(I love Chris Rich)

Yo! Niko na mandem wakumi kwa club
Na magoons wangu tumejam
Bad boyz wako all around me
Kila mahali kwa club nikiturn
Wakam wanadai kuchafua 
Hizi sides magoon nawakaba
58 ikishikana na Macland 
Double Trouble unajua ni kubad

Si unajua tunashut down clubs
Wakicheki jo wanarun
Lazima ukuwe smart kwa streets 
Au hardway jo utalearn

Wanadhani tunatrap for fun
Then lipua kama Alshabaab
Huwezi hang na si
Huskii hii ni Bad Boyz Club

Toka wapi am from the West
Wapi? World Wide West
We ni nani unabang your chest
Naitest low ju sidai kumess

I took the loss, no mtopos
We ain't done shit for mama told
Najua nikiwa Majengo mi niko home
Mtoi mdogo sai ana mahorns

Si ni masimba hatumei mahorns
Natry kuget some cheddah
Ndio niput some food kwa meza
Peng ananibembeleza ananiambia
BIG usiache food kwa meza
Nikidungiwa tenje nitaenda
Anajua mi ni paperchaser
Get the cash -cheddah

Niko na mandem wakumi kwa club
Na magoons wangu tumejam
Bad boyz wako all around me
Kila mahali kwa club nikiturn
Wakam wanadai kuchafua 
Hizi sides magoon nawakaba
58 ikishikana na macland 
Double Trouble unajua ni kubad

Si unajua tunashut down clubs
Wakicheki jo wanarun
Lazima ukuwe smart kwa streets 
Au hardway jo utalearn

Wanadhani tunatrap for fun
Then lipua kama Alshabaab
Huwezi hang na si
Huskii hii ni Bad Boyz Club

Raise the gadmn roof
Si ndo wazee wa mijengo
Na vile nabonga 
Buda utajua tu nimetoka majengo
Machizi wangu ni madingo
Ukibugi tunaslide na magongo
Shaff zangu zote usongo
Karao huku ndo hutoa hongo

Natusua kila pengo
Malenga mwenye malengo
Dili zetu za magendo
Pesa silaha bunduki gongo tu

Club ndole ndo mtindo tu
Geng zima ni marui tu
Songa kando nyi mahopsi tu
Hizo yap yap mtadungwa tu

Ati mi msee mhumble 
But all time najipata kwa trouble
Amefumble kwa bad boyz club
Usijali baby girl nitakupea hio handle
Ngori zinakam mara mbili 
Ma mandem wakumi x double trouble
Ngori zinakam mara twice 
Na unaeza tupa ka una mambo

Sikuskii ni mabitch kwa headphone
Na sijachizi mi niko normal
Tano Nane hio mgongoni 
Na ukikam mbaya utapigwa chobo

Ni ukweli si ni manyota
Shine ka star tunashine ka goro
Sell fish food ni no more
Show hizo skills umekam na kombo

Shamba nipate na wana hainaga lawama
Usipande kumeto my nigga
I gat the gang on my side
Mombasa to Nai hii kitu ni special my nigga

Kwako she talking about
Swipe Gang be the talk of the town
Swipe Gang all the buy is on me 
They already told we don't trap for fun

Yeah! Man don't like - been killing
Rap is my confession
Cops wanna get me cuff as always
Why I change locations

I told my gang lets get the cash
And split that on vacation
Fight dissolved tuko mbele yao
Leo issa big bomb detonation

This year Tano Nane imezoza
Tukianza walitutusi wakachoka
Ma true boyz wanalink hizi streets
One time tunapull up na chopper

Mi ni plug hatudeal na mabroker
Wanadhani tumelala kwa blocker
Tunafichanga white kama coker
Trap on the beat tumezifanya si chocha
Na masela ndani na mashota
Sherehe tunaikata na shoka (Ching ching)
Hizi sides tunasweep na mamopa
Out of the mack kama boy wa ocha
Ukitalk tunasundua itoka
Tunamarsh up kama ma rockster
Tumekam teke kama sports

Squad, news
Shortwire nimeungua fuse
Allow me to re-introduce
Trouble don't give a damn about rules
Watch out, whoo! Don't step on my shoes
Huku luku liko loose
Cheki donda no time to loose
Aduado haina pressure, nyi mkitinga si tunakesha
Swipe Gang, B Boyz, Mad Clan 
Game nzima round hii si twaiteremesha
Back then na wako na vision
Coming live from the hood tunawaonyesha
Wadanzi wasoro, warazi wanoko wote
Rada ni ya kuwakomesha

Niko na mandem wakumi kwa club
Na magoons wangu tumejam
Bad boyz wako all around me
Kila mahali kwa club nikiturn
Wakam wanadai kuchafua 
Hizi sides magoon nawakaba
58 ikishikana na macland 
Double Trouble unajua ni kubad

(ALEX FOCUS)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Bad Boyz Club (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BURUKLYN BOYZ

Kenya

Buruklyn Boyz is Nairobi's hottest drill crew outta Buruklyn (Buru Buru). Buruklyn Boyz members ...

YOU MAY ALSO LIKE