Jojina Lyrics

Yeah yeah yeah
Ooh yeah yeah
Yeah
Bruce Africa pon dis again
Dis again
In my life, life
Sijawahi penda tena Kama hivi, hivi
Napata raha
Kumpata kama yeye si rahisi
Not easy yeah yeah
Na tulifanya Tambiko
Tambiko ko ko
Tumejipanga si Kitoto
Alipo mi nipopo
Tumeshibana, si tupo
Tambiko, Tambiko koko
Tumejipanga si Kitoto
Alipo mi nipopo
Si mfuniko na kopo yayaah
Nobody gonna fit
Si tumesha keti
Ni upendo wa Kweli
Sio unafki , yeeeh
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti , yeah
Mwenyekiti , yeah
Niachieni Wangu
Joji, jojina
Joji, jojina
Joji, jojina
Joji
Niachieni wangu
Joji, jojina
Joji, jojina
Joji, jojina
Jojina
Jojina mwana mama
You too fine na
The way you dress like designer
Kwako Nguvu sina
Wakinipima, na
Vipimo vyote lako jina
Tena mwana mama
Nimejikana na
Mimi ni wako tu wa daima
Kwako Nguvu sina
Wakinipima, na
Vipimo vyote lako jina
Tambiko, Tambiko koko
Tumejipanga si Kitoto
Alipo mi nipopo
Si mfuniko na kopo yayaah
Nobody gonna fit
Si tumesha keti,
Ni upendo wa Kweli
Sio unafki ,yeeeh
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti ,yeah
Mwenyekiti , yeah
Niachieni Wangu
Joji, jojina
Joji, jojina
Joji,jojina
Joji
Niachieni wangu
Joji, jojina
Joji, jojina
Joji,jojina
Jojina
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Jojina (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE