Accueil Recherche Pays Albums

Staki Ufala

BREEDER LW

Staki Ufala Lyrics


Siezi kuwa good boy for nothing
Shenzi type, sina muda na wakati
Who are you na usiniulize maswali
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii

Afisa hio ufala ndio staki
Ka nina noma basis i unishike na unistaki
Unapenda chwani hio tabia ni disgusting
KPLC mbona leo hakuna masti
Kenya kuna ufala walai
Wajai fungua server walai
Swali ni who’s wrong, who’s right
Sishikanishi kama z### wifi
Poor connection, zero detectioin
Uko na msupa na umekosa ka erection
Tabia na sura hazinanga co relation
4 na kambao usikose kuja session
Puff ukis pass after that ni meditation
Mada mafala napunguze population
Sick rapper si nahitaji medication
Peng ting anafanyiwa pollination

Siezi kuwa good boy for nothing
Shenzi type, sina muda na wakati
Who are you na usiniulize maswali
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii

Staki ufala, buda staki ufala
Unakinda mali doh mob na imeparara
Usivute tenje na reverse call apana
Na kwanza ka si biz sioni ka tunaambatana
I need a favor hio ufala no sir
Si usake wera kwani hupendipesa
Ka hupendi ufala basi put your hands up
Kidole cha kati inaendea ma hater
Whatssapp GB, ndio usorore status
Landi ana ku beep na hujalipa keja
Block and delete kwanza pala twitter
Kila mbleina na mrazi ukiniona stay far
Fool me once, we ni janjez
Fool me twice, nijipate
Tusipimane, tuheshimiane
We leta ufala tukosane

Siezi kuwa good boy for nothing
Shenzi type, sina muda na wakati
Who are you na usiniulize maswali
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ehu skiza kwanza
Let me tell you something
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii
Ufala ndio stakii

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Staki Ufala (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE