Home Search Countries Albums

Mambo Shwari

BREEDER LW

Mambo Shwari Lyrics


Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

We unatoka area gani
Hatukujui na hatujali
Ka hazitashuka mi sidhani
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari

Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

Niko area za Lavi spending
Hii ni profit ya jana na juzi
Zip zero pressure tumetuliz
Sibongi mingi mi si sudi

Leta upuzi abro chwadi
Mawikendi sikosi uradi
Dry fry ni ya mbuzi
Adisia kachumbari

Vile Aisha hunipikia mahamri
Naona ni ye nitamarry
Biz kama si halali
Ndio italeta pesa na mahunnie

Lighter leta washa kibong
Papa fathela ama jacom
Hii ni spectacular form
Silali hoi no more

Wera yangu ilianza ka hobby
Usiwahi ngoja white collar
Mandege ndo ndula za mbogi
Zimemeremeta kwa solar
Kwa grao bado mi ndo mbombi
Man badder than Ebola

Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

We unatoka area gani
Hatukujui na hatujali
Ka hazitashuka mi sidhani
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari

Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

Ati Breeder hajulikani
Please mind what you say bih
Ninabear ratings hadi Eld
Greatness ndani ya kila gene

Kila fan shukrani
Bila nyinyi mi nitavanish
Tukilinki mnichome kijamo
Matisho za TK zisonge kusonga

Eeh fasta kanyaga
Tufike form haraka
Pongi tu no haga
Form za uwati hapana

Kuna lingo napenda
Kama msupa kukujaga mapema
Ey ey ndani ya keja
Hujui ni lini juu hakuna kalenda

Ah tuko wengi but am the illest
Team mziki sai big business
I was up on your wing like bittes
Ni mapapapa ziskike

Ukiniboo najikata gillete
Ni maswara sidai shindwe
Ka ni opp na ni war anadai 
Si tuko set ka vixen

Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

We unatoka area gani
Hatukujui na hatujali
Ka hazitashuka mi sidhani
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari

Nasababisha na maarif
Ni mabrenjin na mangwangi
Good vibes mambo shwari
Good vibes mambo shwari
Majaber wako ndani
Ka huna wako samahani

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mambo Shwari (Single)


Copyright : (c) 2020 TK (Tough Klan)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE