Genjeness Lyrics

Yeh Yeh Yeh,
Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh Yeh
Bazengaa
Tuki step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama
Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje
Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu
Bazu Bazu,Wabebe juu kwa juu
Aki ya nani sija chase hii vodo walai
Aki ya nani leo sitoki solo walai
Ma gala wananisuka na wanaweza
We una pupa na umefika na Impreza
Ma fuck boy wamedie nywele kama dexter
Na mashashola ndani ya satchet ya ketepa
Ehh!!
Big Drip,Hii ni Nile apana Tana
Kuna msupa ameibwa weave kwa hii turn up
Mzuka full genjeness in abundance
Sishiki tenje ka hatubongi biashara
Tuki step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama
Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje
Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
Hii ni vibe ya ki bazu na fom iko tru
Na sipendi hawa ma zuzu hubleki kwa loo
Leta kichwa,kachumbari na ki supu
Ati hujali mbele ya watu unani busu
Ma taxin ndio zimefura kwa mdomo
Niko sete na kwa pori ni ma Jomo
Nachocha Benzema niwashie ki jamo
Ngoma kali itawashika mpaka Lagos
TK mandugu zangu wako area
Ka umejipin usilipue ki ndeng'a
Kuna makwella nataka nitoke nao later
Wakiniboh niwa curve kama Beckham
Tuki step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama peddle
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Nikiwa kwa form,Jua ni genje,ni genje
Step in ni commotion, hatu settle
Ma peng ting kuwazungusha kama
Nikiwa kwa fom Jua Ni Genje, ni genje
Nikiwa kwa fom,Jua ni genje ni genje
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Genjeness (Single)
Copyright : (c) 2020 TK
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BREEDER LW
Kenya
Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE