I'm Sorry Lyrics
Ona mi huserve ma fiend
Tuseme mi hu serve ma fiend
(Yeah yeah)
Im sorry nilianza kusonga
Im sorry ulibaki umechill
Local niliwacha kuchoma
Mali me hutoa overseas
Kusota ni something obvious (Uhhh)
Lazima ni serve ma fiend
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (Prr prr prr)
Im sorry nilianza kusonga
Im sorry ulibaki umechill
Local niliwacha kuchoma
Mali me hutoa overseas
Kusota ni something obvious (Uhhh)
Lazima ni serve ma fiend
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (Prr prr prr)
Mwes alinichapia nini
Kucheza na gang ni risky
Buda nilisaree ma fiends hawanipatiangi ganji
Hiyo ni fishy (Yeah)
Kucheza na buty ni tricky
Wao husema buty ni pinji (Uhhh)
Siku hizi nilisare za frisking
Siku hizi buty huuzanga ma sweetie
Unashika makali kaa charm
Risasi ilipigwa akarun
Buty kuna kitu nililearn (Uuhhh)
Zogo haiendi mahali (Mahali)
Vile aliponwa na fam
I hope my nigga alilearn
Vile ubeshte na biz haipatani
Hiyo ni ukweli si utani
Ni noma ni noma uko kwa umbali sitaona (Sitaona)
Ni noma, ni noma uko kwa umbali sitaona
Ni noma, ni noma, chingri cheza na ngoma
Ni noma, ni noma, vidole kwa mwenye anabonga
Im sorry nilianza kusonga
Im sorry ulibaki umechill
Local niliwacha kuchoma
Mali me hutoa overseas
kusota ni something obvious (Uhhh)
Lazima ni serve ma fiend
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (Prr prr prr)
Im sorry nilianza kusonga
Im sorry ulibaki umechill
Local niliwacha kuchoma
Mali me hutoa overseas
kusota ni something obvious (Uhhh )
Lazima ni serve ma fiend
Fala akikuja na njora
Namtolea kitu baridi (Prr prr prr)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : I'm Sorry (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BOUTROSS
Kenya
Boutross Munene is a Composer/Producer/Rapper from Kenya. Boutross is from the AD Family a kenyan sh ...
YOU MAY ALSO LIKE