Home Search Countries Albums

Alietupenda

BOSCO NSHUTI

Read en Translation

Alietupenda Lyrics

Katika hili hupatikana pendo la Mungu

Siyo sisi tuliomupenda Bali yeye katupenda kwanza

Akamtuma mwana yee ku wa Dhabihu ya Dhambi zetu

Nasi tumejua nakuamini Hilo penda la Mungu

Mungu ni upendo alie katika upenda

Yu ndani ya Mungu na Mungu ndani yake

Tunamupenda, Tunamupenda

Kama alivyoanza kutupenda

Tunamupenda, Tunamupenda

Kama alivyoanza kutupenda

Tunamupenda, Tunamupenda

Kama alivyoanza kutupenda

Kama alivyoanza kutupenda

Kama alivyoanza kutupenda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2024

Album : (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BOSCO NSHUTI

Rwanda

Bosco is A Worship Leader, Choir Director, Composer, Musician, and Singer from Kigali, Rwanda. Since ...

YOU MAY ALSO LIKE