Inauma Lyrics

Kukosana na wewe sikutarajia
Kuwa mbali na wewe aki imeniacha pabaya
Kutengana na wewe imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe aki nakunywa nasazama
Ntaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina leo bebi kesho tomato mitandao ikaleta fitina
Ukawa huambiliki na mimi kichwa changu kikavimba nikawa sisemezeki
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
Densi ooh densi
Densi tulikamata hadi usiku wa manane
Kesi ooh kesi
Kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo ooh nyimbo
Nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi ooh kamisi
Kamisi na biker uliwacha nanusanga ndio nilale oo yoyo
Tutaambia nini watu Regina haya mapenzi yalinoga
nakumbuka tukila bata na beer
Parte after parte, shetani gani alituingilia
Akatuweka hasana hilo vitopa limenifikisha
I’ll never love another night
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
Inauma inauma lakini nitazoea
Inauma inauma lakini nitazoea
Hali ya mwanaume duniani nikuzoea
Hali ya binadamu duniani nikuzoea, ndio nashindwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Inauma (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BIEN SAUTISOL
Kenya
Bien Aime Alusa Baraza is an artist from Kenya, member of Sautisol. ...
YOU MAY ALSO LIKE