Maringo Lyrics
Naso(Ayolizer)
Yeiyee, tega
Ooh maringo maringo
Maringo changanya na mwendo(Fire)
Kifuani embe ng’ongo(Fire)
Chini kafunga mzigo(Aha)
Macho kama Sanchoka
Ukitazama kama unaniita
Kiuno tueni Insta
Ukiwa mbali moyo unapwita
Napenda ukifungaga kanga
Napenda ukitandika kitanda
Napenda ukishikaga kamba
Napenda ukisema unapanda
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Acha ngoma inoge
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Raha ya ndizi utoe maganda
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Napenda kuku sipendi bata
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Basi songa ugali zungusha kata
(Heh aiyayayaya)
Chana nywele Afro
Waka waka twende beach koko
Usihofu afro
Sio kwa boda nina mkoko(Koko)
Vaa upendeze oo
Kipenzi cha roho
Twende ujichane ooh
Usihofu na doh
Nachotaka unipendee(Ooh yeah)
Usije ringa unitendee(Ooh yeah)
Taratibu tusonge(Ooh yeah)
Twende kwa mama akuone(Ooh yeah ooh)
Pole pole, uuuii
Si ni ka pale pale
Cheza mama cheza
Pole pole zungusha pale pale, aha
Macho kama Sanchoka
Ukitazama kama unaniita
Kiuno tueni Insta
Ukiwa mbali moyo unapwita
Napenda ukifungaga kanga
Napenda ukitandika kitanda
Napenda ukishikaga kamba
Napenda ukisema unapanda
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Acha ngoma inoge
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Raha ya ndizi utoe maganda
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Napenda kuku sipendi bata
Nitaishi naye(Ooh ginger)
Basi songa ugali zungusha kata
(Heh aiyayayaya)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Maringo (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE