Home Search Countries Albums

Set Me Free

SAUTI SOL

Set Me Free Lyrics


Hivi bado nakumbuka 
Nikiwa kijana
Ile bangi nilivuta 
Pombe nilipewa kwa sana 

Na wasichana walinipenda 
Wengine walinikataa
Na hapa nilipoamka
Sikulala jana

Napiga densi usiku kucha
Vijana kwa wasichana
Na masiri zilipasuka
Wengi walizaana kwa sana

Na vijana wengi walikopa deni
Wapeleke slayqueen maskani
Wakatoanishwa bila kuonjeshwa
Wasaniii tuliponea

Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Naomba, naomba nizidi kijana
Woun't you set me free nizidi kijana

Kaja Facebook kaja Twitter
Kaja pia na Instagram
Wengi walibwaga moyo
Na picha za kutesa sana

Na walitesa tesa
Wazungu wanasemanga 
Ati business and pleasure
Inasaidinga wazae kupunguza pressure
Vijana under pressure
Wasanii tuliponea

Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Naomba, nizidi kijana
Woun't you set me free nizidi kijana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Midnight Train/ Set Me Free (Album)


Copyright : (c) 2020 Sol Generation.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SAUTI SOL

Kenya

Sauti Sol is a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis C ...

YOU MAY ALSO LIKE