Unaita Lyrics
Kama inakera kumpenda huyu ka cinderella
Kamezeni mnazi au mapera
Bora nife au niende jela
Kwenye hili penzi najibwaga
Kama unanuna kula mawe
Tunaelewana kina dada
Au niongee kisa nawe
I say baby unaita
Sweety unaita
Say baby unaita
Ah sweety unaita
Kwa tabasamu lako unaita
Hata ukinuna unaita
Yako maujuzi unaita
Aah baby unaita
Kwa tabasamu lako unaita
Hata ukinuna unaita
Yako maujuzi unaita
Aah baby unaita
Alafu mi naona
Ulivyonipa nimekolea
Ugonjwa nishapona
Hadi utamu umeninogea
Ulivyonipa tu cha kwanza cha kwanza
Huo mziki faganza faganza
Sijakaa vizuri nakandwa nakandwa
Naicheza bakanja bakanjaa
I say baby unaita
Sweety unaita
Say baby unaita
Ah sweety unaita
Kwa tabasamu lako unaita
Hata ukinuna unaita
Yako maujuzi unaita
Aah baby unaita
Kwa tabasamu lako unaita
Hata ukinuna unaita
Yako maujuzi unaita
Aah baby unaita
Say whine segeju segejua
Kata tena chekechua
Kwa yako maujuzi utaniua
Ah segeju segejua
Say whine segeju segejua
Kata tena chekechua
Kwa yako maujuzi utaniua
Ah segeju segejua ayee
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : B (EP)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BEN POL
Tanzania
Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...
YOU MAY ALSO LIKE