Home Search Countries Albums

Show Off

BEN POL Feat. DARASSA

Show Off Lyrics


Kaomba kapewa
Kaonja kalewa
Nami ndio nishamuelewa
Nikimkosa nakua kama nachelewa
Nyota mbalamwezi
Mwanamke amazing
Mbona hawakuwezi
Kama unakuuga na ngekewa

Siri sio siri tena
Penzi hadharami
Usipo mkuta kwangu
Sasa atakua kwa nani
Siri sio siri tena
Mambo hadharani
Usipo mkuta na mimi
Sasa atatamba na nani
Aaaahh aaaahh aaaahh aaaahh
Show off
Aaaahh aaaahh
Aisse show off
Aaaahh aaaahh
Kama unampenda show off
Kama unampenda show, show off

Mapenzi yalisha nitesa roho
I said I better let it go
Toka nimekutana na wewe
Mbona naona tunapendana
Washaa niumiza sana roho
Unampenda mwanamke much know
Toka nimekua na wewe
Kama mapacha tunafanana
Mapenzi huwaga complicated
Sometime you do whatever is taking
Watu watakuambia utasikia nonsense
Maana hisia ikiendesha kichwa np break
Hili penzi nimeingia VIP
Unavyo jiachia your body on me
Unanipa AB na CD
Mwenge unachona kijiji
Vuka kwenye mto wa rufifi
Limalima kwa shamba la bibi
She give me a key namtreat ki G
Nashuka napanda ans she say be free

Siri sio siri tena
Penzi hadharami
Usipo mkuta kwangu
Sasa atakua kwa nani
Siri sio siri tena
Mambo hadharani
Usipo mkuta na mimi
Sasa atatamba na nani
Aaaahh aaaahh aaaahh aaaahh
Show off
Aaaahh aaaahh
Aisse show off
Aaaahh aaaahh
Kama unampenda show off
Kama unampenda show, show off

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Show Off (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BEN POL

Tanzania

Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...

YOU MAY ALSO LIKE