Home Search Countries Albums
Read en Translation

Waah! Lyrics


Anachukua anaweka Waah!
Le général Dangoté
Anachukua anaweka Waah!
Le grand Mopao
Anachukua anaweka Waah!
Boss ya mboka
Anachukua anaweka Waah!

Taamu kupendwa nawe, taamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Taamu kupendwa nawe, tamuuu..
Tamu kupendwa nawe

Oh maneno maneno, tumeyazoea
Vijineno neno, tushazoea
Mpenzi wangu mbaya
Kwani ninawahusu?

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu?
Udangaji umalaya, wao inawahusu nini?
Wamegusa pabaya na mwaka huu
Lazima wachuchumae

Wameingia cha kike (Hewaa)
Cha kike (Aaah)
Wameingia cha kike
Cha cha kike (Twale)

Wameingia cha kike (Kwa penzi letu)
Cha kike (Lazima wachuchuma)
Wameingia cha kike (Kwa penzi letu)
Cha cha kike

Aah Bakokote Babu Tale
Don Mendez, Ba Junior
H-Ba Juniour

Chumbani Hennessy
Hunipatia panadol (Pain killer)
Kwa chenga za Messi
Na mashuti ya Ronaldo

Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka Waah!
Ah kwenye gari
Anachukua anaweka Waah!

Iwe jikoni au varandani
Anachukua anaweka Waah!
Doze doze, doze doze
Anachukua anaweka Waah!

Yaani Dar es Salama joto
Toa leso nipepee (Mkubwa Fela)
Oya kombo joto
Toa leso jipepee

Oya mzee Kunami, jipepee
Oh Ricardo Momo, jipepee
Oya mama Ndangote, jipepee
Eeh Doni Fumbwe, jipepee

Juu juu, jipepee
Juu juu juu, jipepee
Juu juu, jipepee
Juu juu juu, jipepee

[Koffi Olomide]
Na se! Na se!
Na se! Na se!
Fukama fukama mwara
Fukama fukama mwara
Fukama fukama Diamond
Fukama fukama Quadra
Fukama!

Eh papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye

Anyataka trop akokakate alobaka te
Tsuba ye, yes!
(Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma)
Akokaka te alingaka trop alobaka te
Sukuma aa, yes
(Tshuma tshuma tshuma aah)

Papa ngwasuma, papa ngwasuma (Joseph Kusaga)
Papa ngwasuma, anzeli gwasuma
Dar es Salaam ngwasuma (Uncle Shamte)
Diamond ngwasuma
Kinshasa ngwasuma
Qatar gwasuma

Eeeh aaah!!
Eeeh Weeeh!!

Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh nasema usiniguse, usinitouch
Salamu iwe kwa miguu (Tusigusane)
Usiniguse, usinitouch
Tusalimiane kwa miguu

Ooh kwanza kaa mbali
Corona coro, corona coro (Ko simba te)
Mwenzako naogopa
Corona coro, corona coro (Akusana Mosika)

Kwa tena vaa maski
Corona coro, corona coro (De megre)
Mikono yako kuosha
Corona coro, corona coro (De Pirlo, Saint James)
Didi Stone (Didi Sontos)

(Ayolizer)

Today is today
The boss, the boss, the boss
On vous a parlé de nos deal
On vous a parlé de nos fortunes
(Ehh mopao mokonzi eh eh)

(Wasafi)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Waah! (Single)


Copyright : (c) 2020 WCB Wasafi


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE