Home Search Countries Albums

Jigi Jigi

BARNABA Feat. NATACHA

Jigi Jigi Lyrics


Iyoo iyoo...
Aaah aaah...
Aaah aaah...
Yaga

Chai changanya na tui
Nijifanye sijui
Nimpoteze ma boy

Wali mwenzake tui
Paka na chui 
Avie ndani

Baya kulazimisha penzi 
Kwa mtu asiye kupenda 
Hiyo ni mbaya

Amenilambisha sukari nguru(aiyo)
Ah, heri ungesema tuu
Kama si wangu
Ameniongeza changanya mbaliga zangu

Mtoto black current 
Mix ya chotara
Umeumbika vya maana 
Natacha gurumbi

Nikamate kiuno no no no
Nikupe vinono no no
Usije changanyikiwa eeh

Tukiwa kwa bedi
Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!
Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!
Jigijigi Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!
Natacha Wa! Wa! Wa!
Tutambe Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Mapenzi ya kalenda
Kujitia unanipenda
Njoo Burundi kama unanipenda
(Aaah...)

Nikupikie mkeke
Kisha nikupepee
Ngongoni nikubebe

Tukiwa kwa bedi
Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!
Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!
Jigijigi Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!
Natacha Wa! Wa! Wa!
Tutambe Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tukiwa kwa bedi
Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!
Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!
Jigijigi Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!
Natacha Wa! Wa! Wa!
Tutambe Wa! Wa! Wa!
Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Jigi Jigi (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BARNABA

Tanzania

Barnaba Classic is a singer, song writer and producer  from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE