Maisha Haitaki Pressure Lyrics
Siku hizi nimeshasoma na
Ukiwa na masikitiko wanakuhepaga
Daily mimi nilishindwa kumanga
Ju manzi alinitoroka akaenda Ulaya
Kweli hiyo ili nifungua macho
Ona sasa mimi sina mahangaiko
Ju hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
Daily mimi niko kwa manganya
Kazi ya ukamagera machwani nakusanya
Wewe hujui vile ulienda
Niliwahi malaika ananipenda
Kweli hiyo ili nifungua macho
Ona sasa mimi sina mahangaiko
Ju hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
Hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
Inasonga, inasongaa...
Inasonga, inasongaa...
Inasonga, inasongaa...
Hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
Hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
Hii maisha haitaki pressure
Na ukipata tosheka
Hii maisha burudika, furahia
Ju dunia inasonga
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Maisha Haitaki Pressure (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE