Home Search Countries Albums

Wabanjuke

BALULU THE ICON

Wabanjuke Lyrics


Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Wacha madem wabambike
Kwanza wape chain nataka ziwashike
Wacha mafala wapayuke
Hawafiki bei ya thutha wasizishike

Ah sa wanasema eti mi mtu mbaya
Naimba zile content mbaya
Wanaumathe eti hawana haya
Kwani unataka wabanju kwa ngoma za kwaya

So kila mtu fika dancefloor
Nataka tuwacheki mkigo down low
Aja luo ---
We ni kijana simama get a tako

Tujibambe sana ka hakuna kesho
Kwanza ni weekend hakuna tension
Tujifiche tutoroke twende session
Tukirudi zetu zimeshika tuko lesson

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Kuna vile umenibamba ndio
Na vile unazungusha unanipeleka mbio
Ah napenda game Messi Leo
Terry kwa keja si itabaki kilio aah

Na hawa madem wamebeba excess
Hata Vera kando tushaloose interest
---
Na ukicheki wakishake madness

Hii ni ngoma ya wasee wanarombosa
Wenye hapo nyuma wanajua kudondosa
Ni ya machali wanajua kuzitoka
Na kama umedunga pamba fiti denge utamchota

Akikubamba bwana piga kitu
Omera akikaa mbaya piga kitu
Mmmh akisleki bwana piga kitu
Na vile ameweza bwana si ni kitu

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Kama kuna dem hapa ndani amebeba
Form imejipa aki ya nani nitamkemba
Sisi tunaparty toka Jan to December
Eeeh my galdem, galdem

Kama kuna dem hapa ndani amebeba
Form imejipa aki ya nani nitamkemba
Sisi tunaparty toka Jan to December
Eeeh my galdem, galdem

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Wacha madem wabambike
Wacha mangeus wabanjuke
Wacha mangoko wakatike
Ju hii ndo form, hii ndo form ama? Eeh

Tujibambe sana ka hakuna kesho
Kwanza ni weekend hakuna tension
Tujifiche tutoroke twende session
Tukirudi zetu zimeshika tuko lesson

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Wabanjuke (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BALULU THE ICON

Kenya

Balulu the Icon is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE