Home Search Countries Albums

Mbona Nitense

AMIR SLITHER

Mbona Nitense Lyrics


YO Musa pass me the lighter, ahaaa slither
(Spliff that shit hard)
Okay, okay uh

Mbona nitense nina manigga wanathug on the low
Mbona nitense nina mkoro ananiombea daily
Mbona nitense nikpata maganji waseme naflex
Buda si tense minko talent alafu I’m blessed
Tenje ya biz inaring ni Musa anadai rizz
Sare mabeef na subaru boys maninja wata kukulia manzi
Sare mabeef za mneti mastepper watakpata kwa streets
Sare mamorio hawakujengi
Mamorio wana bitch ,mamorio waliswitch
Dem anapost barcadi Ig mtaani anapiga konyagi
Dem ni tanker anararua makali alafu anashika manyaru
Dem asipo moan nasare na chuck juu kwani alichimbwa na nani

Mmebeba crosses kwa chest , heart zenyu mmejazanga hate
Story za non believers hizo ndio nyi hu debate
Nime take some wins and loses but soon nitafeed na mabosses
Buda itabidi ume hustle, juu begger hanga machoices
Mbona una shout kwa rende, tukpatana solo umetense
Usbambe  umati loss ni kwako buda hunanga defense

Mbona nitense nina manigga wanathug on the low
Mbona nitense nina mkoro ananiombea daily
Mbona nitense nikpata maganji waseme naflex
Kama ni chain, nazima ikifika kwa morio alinisnitch
Buda ni brains, place nmefika ni pure bidii
Wengi walidoubt, sai narap itabidi wametii
Drop io pin tufike location tumake ka scene
Minko fixed,ata katambe nakam nakafee
Nyimko bitching, mandume lakini mmependanga gossip
Minko flipping ,nasare madre ka ni time ya ku focus
Boy ako simping, na dem anakuanga na tabia bogus
Sjai lose focus, kama ni biz inaleta mang’ondo
Maboy wako working, mbleina alitrip tukampatanga lacking
Pigwa ki headshot, crime scene tulisafisha na acid
So buda usitrip, buda usi famble, life si gamble , uscheze kwa jungle
Kama ni usoro nachuck hio call , spendi mdomo kwa biz ya dooh
Nina manigga uko kariakor , wako na mali uezi afford
Minko blessed, life naishi ni life na afford
Spendi ku fake ndio nipate ka fame
Spendi ku blame, I get what I get

Mbona nitense nina manigga wanathug on the low
Mbona nitense nina mkoro ananiombea daily
Mbona nitense nikpata maganji waseme naflex

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mbona Nitense (Single)


Added By : Amir Slither

SEE ALSO

AUTHOR

AMIR SLITHER

Kenya

Amir Slither is a Kenyan musician ...

YOU MAY ALSO LIKE