Home Search Countries Albums

Mahabuba Lyrics


Oh nasikia raha nikiwa na wewe
Nasikia raha nikiwa na wewe
Oh baby nasikia raha
Oh baby eeeh

Weka shuka kwa kitanda
Tuje tulale mama
Naomba ulale na kanga
Mana nimeku-miss sana

Tunanenepa mamaa
Japo pesa hatuna
Wanaumia sana
Kila wakituona

Eti wanauza vocha
Cha ajabu wana beep beep tu
Wanatamani ningekuacha
Wanaona wivuwivu tu

Ee eh nakuita Nandy ndindii
Wanataka kukuteka washenzi
Hawajui mimi nawe toka enzi
Tabia zao wala sizipendi

Kitumbua ukitia mchanga
Nitaumbuka mwenzako
Tafadhali usije kunitenda
Watanizika mwenzako

Kuna visenti navichangachanga
Nitakupa mwenzako
Kuku nimenasa kwenye tenga
Sina pupa mi ni wako

Ungejua sisemii, silali
Kwako vile sihemi
Wewe ni ndo kiboko yangu

Mahabuba nyongo
Nyongo mkalia ini
Sinaga mwingine baba
Nyongo nyongo mkalia ini

Shida yangu kukuona mzima baba
Njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana baba
Tangu enzi hizo

Wache waparki Ma-range
Nimependa bodaboda iyee ah
Ongeza mapenzi
Sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee
Uniletee boga ninapo-miss burger iyee

Japo wengi wanaumia
Wakituona ng'aring'ari
Wanatamani furaha yetu

Hawapendi kushuhudia
Tunavyo zidi kwenda mbali
Wanaitamani furaha yetu eh
Majutoo majuto ni mjukuu nikikuacha
Na mwisho nitachekwa na watu nitaumbuka

Ungejua sisemi silali
Kwako vile sihemi
Wewe ndio kiboko yangu

Mahabuba nyongo
Nyongo mkalia ini
Sinaga mwingne baba wee
Nyongo nyongo mkalia ini

Zidisha mahaba mama
Nyongo nyongo mkalia ini
Nakupenda nyongo
Nyongo mkalia ini

Wale walepale wanakupigia misele
Basi mimi na wewe
Tusiishi kama kambale kila mtu ndevu

Lala lalaa lala la la mpenzi lala
Usiniacheee, deka deka aaah nadeka mie
Mpenzi deka weeh
Lala lalaa lala la ooh mpenzi lala
Usiniacheee, anadeka deka
Ooh mpenzi deka weeh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2017


Album : Mahabuba (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ASLAY

Tanzania

Isihaka Nassoro  aka Dogo Aslay  is a musician from Tanzania. Born in 1995. ...

YOU MAY ALSO LIKE