Home Search Countries Albums

Wrong Number

ARROW BWOY Feat. JOVIAL

Wrong Number Lyrics

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Yeah yeah

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Ayayaya

Nimekungoja miaka kumi
Bado unanikausha kama kuni
Ah unanitisha hadi naogopa
Unaninyonya kama kunguni, yeah yeah yeah

Unajidai superstar bado kwangu roho boa
Uso umekomaa niondoleshe uboa
Unataka vya bei, ile huna
Nguo zenyewe za kukopa
Kwangu bado unanuka umba
Nisubiri niekwe kinyumba

Jooh, we ni kike wa aina gani?
Umeumbwa na material gani?
Kulambwa lambwa na majirani
Hiii hiii

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Yeah yeah

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Ayayaya

Acha kubonga mob, mi ndio pro
Kama una umwa basi kunywa panadol
Panadol, hee panadol
Ikizidi sana pia kunywa Cetamol eeh

Hapa kumewaka fire
Man ah better retire
For a very time me no nyam
You better leave, I will find another

Eeh we ni ndume wa aina gani?
Umeumbwa na damu gani?
Huna hela una maana gani?
Iyee iii

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Yeah yeah

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Haha ayayaya

Huna subira aah...

I say wrong wrong wrong wrong
Wrong number, wrong wrong wrong wrong(Hu haa!)
I say wrong wrong wrong wrong
Wrong number, wrong wrong wrong wrong(Hu haa!)

Wrong wrong wrong wrong
Wrong number, wrong wrong wrong wrong(Hu haa!)
Number wrong wrong wrong wrong
Yeiii, yeah yeii(Hu haa!)

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Yeah yeah

Unaringa, kwani una nini?(Kwangu wrong number)
Mnazi coconut haujui(Wrong number)
Wewe ni paka unajiita chui(Wrong number)
Ayayaya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2019

Album : Hatua/Wrong Number (Album)

Copyright : (c) 2019

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ARROW BWOY

Kenya

Arrow Bwoy real name Ali Yusuf born born May 26th in Huruma Nairobi Kenya,  is a Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE