Home Search Countries Albums

My Bae

ALPHAJIRI

My Bae Lyrics


Navyoridhika nikikuona 
Napokuona utamu wa moyo
kama maradhi mi napona 
Nikikuona umekuchagua moyo

Maneno yangu uliyaamini 
Hukuenda popote uliridhia sawa
Hukusikizaga wahuni 
Ukawaacha hao wote ukaniona sawa 

Baby lemme love you(Love you)
I cannot do without you(Without you )
Hili pete ishara I love you(Love you)
Uwe na jina langu

My bae, my bae, my bae 
Ushaniteka teka moyo wangu
My bae, my bae, my bae 
Na ni furaha wewe kuwa wangu 

Ashajulikana ashapatikana 
Ashajulikana yeye ndio wangu 
Ashapatikana, ashajulikana
Ashajulikana

Mimi nawe ndio twajua 
Kile tunacho ndani
So baby come and give me your love 
Mi nishakueka moyoni

Uazazi wangu wako waone nikikuchukua(Chukua)
Ukinijia wakupambie kwa maua 
Machozi ya furaha laiti ungejua(Ungejua)
Twakata keki leo twajishaua

Baby lemme love you(Love you)
I cannot do without you(Without you )
Hili pete ishara I love you(Love you)
Uwe na jina langu

My bae, my bae, my bae 
Ushaniteka teka moyo wangu
My bae, my bae, my bae 
Na ni furaha wewe kuwa wangu 

Ashajulikana ashapatikana 
Ashajulikana yeye ndio wangu 
Ashapatikana, ashajulikana
Ashajulikana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : My Bae (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ALPHAJIRI

Kenya

Alphajiri is an Afropop duo boy band  made up of Paul Aphajiri and  Black Alphajiri from K ...

YOU MAY ALSO LIKE