Home Search Countries Albums

Yalla

ALMOND Feat. MISS OGOI

Yalla Lyrics


Ya Rabii Mola yashanijia
Nakesha na raha upendo kwa moyo
Kaumba nyota upendo na nia
Akakana kushare izidishwe na choyo
Brother Mambo ya kupenda penda skuizi yashazidisha vifo
Eti mda kudate izidishwe kupeti yamenishinda pambano
Maana kutendwa tendwa moyo yapo mbali na kimo
Asije akafeki kwa huba akabeti akabashiri ya moyo
Nkavunjwa na roho

Yalla Yalla, nashukuru npo nje ya mapenzi
Yalla Yalla,huba no no nakana siyawezi
Yalla Yalla, aloyaumba nyota mbalamwezi
Yalla Yalla, anazidi yangu sibira

Kama kupenda inamaana, hivi mi nshaachana
Mbona basi kung'ang'ana, nmezidiwa jamani
Mambo ya kuforce, yalinicost, nliparamia nkosa pakwea
Nlompost, mwenyewe akajaghost nkafifiwa aaah
Yaani alinihost, akajaboast, anamadem eti kundi la prayer
Nlivyotalk, hivyo akaniblock, nkaishiwaa aaah
Sister Mambo ya kupenda penda skuizi yashazidisha vifo
Eti mda kudate izidishwe kupeti yamenishinda pambano
Maana kutendwa tendwa moyo yapo mbali na kimo
Asije akafeki kwa huba akabeti akabashiri ya moyo ukavunjwa na roho

Yalla Yalla, nashukuru npo nje ya mapenzi
Yalla Yalla, huba no no nakana siyawezi
Yalla Yalla, aloyaumba nyota mbalamwezi
Yalla Yalla, anazidi yangu sibira

(Ninja wa mapenzi nibebe
Kama ndege tetere ni pepee
Fanya yawe Haram ntekee, ooh no no no oooh
Ninja wa mapenzi nibebe
Kama ndege tetere ni pepee
Fanya yawe Haram ntekee, ooh no no no oooh)

Yalla Yalla, nashukuru npo nje ya mapenzi
Yalla Yalla,huba no no nakana siyawezi
Yalla Yalla, aloyaumba nyota mbalamwezi
Yalla Yalla, anazidi yangu sibira

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Yalla (Single)


Added By : Almond la Cavera

SEE ALSO

AUTHOR

ALMOND

Kenya

Almond is a kenyan musician ...

YOU MAY ALSO LIKE