Ni Salama Lyrics
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Nionapo amani kama shwari au nionapo shida
Kwa hali zote bwana amenijulisha
Ni salama moyoni mwangu
Nionapo amani kama shwari au nionapo shida
Kwa hali zote bwana amenijulisha
Ni salama moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani mimi
Kristo ameona, ameona unyonge wangu
Amekufa kwa roho yangu
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani mimi
Kristo ameona, ameona unyonge wangu
Amekufa kwa roho yangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Dhambi zangu zote wala si nusu
Zimewekwa msalabani
Wala sichuhui dhana yake
Ni salama Moyoni mwangu
Dhambi zangu zote wala si nusu
Zimewekwa msalabani
Wala sichuhui dhana yake
Ni salama Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Eeh bwana himiza siku yako ya kuja
Parapanda itakapo ooh, ooh lia
Utakapo shuka mimi sitaogopa
Ni salama Moyoni mwangu
Eeh bwana himiza siku yako ya kuja
Parapanda itakapo ooh, ooh lia
Utakapo shuka mimi sitaogopa
Ni salama Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
Ni salama, ni salama, ni salama
Moyoni mwangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ni Salama (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE