Izi Ndio Isaa Lyrics
(Eyuh Chino you again?)
Rada gani mityaa zinasemaje?
Ka si safi wakikam mtahepaje?
Na thank Jah kunipa hii kipaji
Ju sa sina haja tena na ujambazi
Kuna kazi mali safi
Pata pesa timiza mahitaji
Zikizidi safisha kanisani
Wakitukazia maliza bladifckn
Usiku kucha tumeshinda mamiradi
Kesho kutwa kwa mitumba maridadi
Strip club kuzitupa ka ni nothing
Ma 6pack zikishika ni makali
Ma G bag eyoh Smady tafadhali
Si ungezingati, wasee wa party
Rada gani zimenyc tu kiplani
Sina form zimenyc tu kejani
Jaba kako sa nadai tu majani
Niko na gang tunadai tu mahunnies
Rada gani hauchani, hukati maji hausanif
Ushakomaa ati zako ni za kindani
Aii mami, rada gani
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si za kuwamocho machwara
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa jo za kunachi ukarwara
Ukilete za kijanja mi ni chainsu
Ju bado nina maga imebeba rithe za riftle
Na zikitema zinanyambaga na highnote
Utadigi warembete na inawaka kwa nozzle
So ukikam na ngori mi hukam so slow
Ju nina bomb mi nalipua na phonecall
Tuna njanati na warazi wako Sodom
Ndo wacatch ka player amejifunga own goal
Natumia ngimitima kutambatata ngimitima
Utanipata irembete madaily nikirembete maburungo'
16 kinembete na nimejithembetesha
Tiromo nganapikwa senke saa ya kuwateria
Jaba atamkimbitia lamba tele mtembe teje shekla
Kwa mgomo tola msafimbitishe hadi keja
Ukijindanasu kabaridi bado unagembetecha
Nakutokea ki ghost umbutuke kama meza
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si za kuwamocho machwara
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa jo za kunachi ukarwara
Kuwaicha kuwakata za kigoe
Kata pue nakudosho kwa roe
Exile naeza jindasu kwa fore
Tema musi nakuwasha ka nyasore
Niko washa steam zimezible
Kama riat request izidi niche
Mez dela mi nainzagi kwa nibre
Hadi renangwa hana kuku kible
Muok rima nikutii nasema vela niko gwatha
Wada nimetise kamnywela
Deng'a wholippa nikulinki ma ayela
Bakmanyu wametangaza makwela
Wakuleta underation abugde
Riang kama kawa tunawamada vulala
Nyanya machwaki wakinyanyanya maumbuthe
Niko chingri wakinywa kumakugala
Luku fisa siwezi pana mbotolo
Kweng'a kinia wamejaza mapopolo
Beat ikimuok nazipigaga shotholo
Mbogi whollipa tuko mtu ka ngongoro
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si za kuwamocho machwara
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa si huwapeleka na rada
Hizi ndo isaa
Hizi ndo isaa jo za kunachi karwara
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Izi Ndio Isaa (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
AKASHA (JESHI JINGA)
Kenya
Zedi Akasha is an artist from Kenya, a member of Jeshi Jinga representing 1960 Kayole. ...
YOU MAY ALSO LIKE