Nogea Lyrics

Ooh My Love Honey Nikiinua Macho Juu Naona Love in You
And Your Love Yaani Ndo Inafanya Niwe Juu Kwenye Hii Dunia
Niwe Juu Mbali Kwa Wengine Iwe Ngumu Kunifikia
Umeninogea Hatari Na Wengine Hata Sijaki Huwasikia
Umennogea na Penzi Lako
Noge Nogea Aah
Nogea Aah
Nogea Aah
Noge Nogea Aah
Nogea Aah
Nogea Aah
(Aeh Iyee Umennogea Nogea Nogea aah Umennogeaa heeh mmnh Nogea)
Nikupe Tam Tam Asali Ujirambe Ujinenepee Uvimbe ooh Beybee
Usinishe Ham Ham Safari Tutembee Ooh Milima Mabonde Mimi Nawe
Kwa Mapana Nasema Nakuhitaji We Ndo Wangu Mfariji Nikiwa Mawazoni
Ooh Maana Wee Ndo Langu Uwaridi Ubaki Kwangu Ikibidi Usende Mbali Nami
Umennogea na Penzi Lako
Noge Nogea Aah
Nogea Aah
Nogea Aah
Noge Nogea Aah
Nogea Aah
Nogea Aah
(Aeh Iyee Umennogea Nogea Nogea aah Umennogeaa heeh mmnh Nogea)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : In Love (EP)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
AISHA
Tanzania
Aisha also known as Bi Aisha is an artist from Tanzania signed under Kwetu Studios. ...
YOU MAY ALSO LIKE