Home Search Countries Albums

Overdose

ADRI

Overdose Lyrics


Sumu la penzi alinionjesha
Penzi kusikia niliogopa
Dakitari wewe umeniponesha
Sikio la kufa ili nipate dawa

Moyo wangu aliwacha kidonda
Kisha kila mara kunitonesha
Moyo wangu beiby mimi ninakupa
Wewe peke yako ndiye kipoza

Ka mapenzi bia basi nimeoverdose
Wali guu la bia na mwendo wa makozi
Nikiangalia tayari umepause
Endapo ukilia mimi nitafuta chozi

Baby boo bila kukuona roho yangu juu
Baby nakumind huna maringo, maringo, ooh yeah 
Baby boo Bonnie and Clyde is me and you
Baby nakumind I will never let you go
Let you go ooh yeah

Baby boo, nimeoverdose
I want some more, nimeoverdose
Nipe tena, nimeoverdose
Baby, nimeoverdose

I want some more, nimeoverdose
Give me love, nimeoverdose
I want some more, nimeoverdose
Nipe tena, nimeoverdose

Nimelewa sasa niko chakari
Ulichonionjesha yaani hatari
Kweli wewe fundi yaani dakitari
Umenikoleza chumvi kitandani

Fuata fuata nyuki utajionea maana
Chovya chovya huwezi mara moja mama
Amejaza mzinga ananimaliza
Yaani kama nzi nafa kidondani

Baby you got me, I swear
You're so amazing, I swear
You hypnotize me, I swear
You drive me crazy, I swear

Baby you got me, I swear
You're so amazing, I swear
You hypnotize me, I swear
You drive me crazy, I swear

Baby boo bila kukuona roho yangu juu
Baby nakumind huna maringo, maringo, ooh yeah 
Baby boo Bonnie and Clyde is me and you
Baby nakumind I will never let you go
Let you go ooh yeah

Baby boo, nimeoverdose
I want some more, nimeoverdose
Nipe tena, nimeoverdose
Baby, nimeoverdose

I want some more, nimeoverdose
Give me love, nimeoverdose
I want some more, nimeoverdose
Nipe tena, nimeoverdose

(Nimeoverdose, nimeoverdose)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Overdose


Copyright : (c) 2020 ADRI


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ADRI

Kenya

Adriano Luchetti, stage name 'Adri'  also known as African King is an artist from ...

YOU MAY ALSO LIKE