Nimerudi Lyrics

Ukweli wote nitakwambia
Yote yaliyonitokea
Ila pole sana kwa maumivu
Kwa majaribu ulopitia
Ndotoni sana ulinijia
Nikaona ka unanusia
Kwamba mi sichanganywi na dunia
Nyumbani nimeacha familia
Ona nilivypigika eeh
Mwili wote umeisha rotuba
Nishaingia hadi jela
Kisa kusaka mavumba oooh
Nilijotoa mhanga
Kwa yeyote kazi kufanya
Ili kujaza kibaba
Oooh
Kikubwa nililinda roho yangu
Siwapeshi na watoto wangu
Futa lako chozi mke wangu
Naiyooo
Nilikosea mke wangu
Unisamehe we na wanangu
Futa lako chozi mke wangu
Oooh
Ila ila ila
Nimerudi tena aah
Ni heri tuwe family
Nimerudi tena aah
Unisamehe
Nimerudi tena aah
Oooh baby oooh
Nimerudi tena aah
Naweza sema nasamehe sawa yakapita
Ila uchungu na maumivu hayawezi futika
Hujaniumiza moyo tu umenidhalilisha
Na hujanitesa mimi tu na wa malaika
Wamelala njaa mara ngapi?
Kuchomwa jua, mvua yetu si kushuka shati
Huh nishapiga simu mara ngapi?
Nishapiga mpaka goti ukasema hunitaki
Eti leo, leo hii unaikumbuka familia kweli
Baada ya wanao kulelewa pale sheli
Kulelewa ferry unakula raha tunashangaa meli
Na leo ndo unarudi baada ya michongo kufeli
Ila nikupenda beiby
Nilikuwa tayari
Twende mdogo mdogo beiby
Kikubwa nililinda roho yangu
Siwapeshi na watoto wangu
Futa lako chozi mke wangu
Naiyooo
Nilikosea mke wangu
Unisamehe we na wanangu
Futa lako chozi mke wangu
Oooh
Ila ila ila
Nimerudi tena aah
Ni heri tuwe family
Nimerudi tena aah
Unisamehe
Nimerudi tena aah
Oooh baby oooh
Nimerudi tena aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nimerudi (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE