Mkali Sana Arukoo Lyrics
I’m gonner kill, i’m kill you
I’m gonner madder, i’m gonner madder you all
Coz yea coz i’m arukoo
Tukicheza mchezo wa aluta
Don’t mind that i will kill you
Using word that is danger
I’m using that is sweetie coz i am an arukoo
Yoh yoh that is sweetie
Mtanijuwa mie ni king bnr
Motion zangu naifanya kwenye ndoto sana
Mistari naichapa sio ya kitoto
Mimi mkali bana mtanitambua sana
Mimi ni yule burner hule
Nachana mvhana
I’m gonner kill, i’m kill you
I’m gonner madder, i’m gonner madder you all
Coz yea coz i’m arukoo
Tukicheza mchezo wa aluta
Ujinga ya utoto mimi sipendi saana
Ukileta ubishi nitakuteka saana
Utabaki bure ukijiongelesha sana
Nitakupiga miti yani ukonde sanaa
I’m gonner kill, i’m kill you
I’m gonner madder, i’m gonner madder you all
Coz yea coz i’m arukoo
Tukicheza mchezo wa aluta
Yooo ooh gange
Nimerudi tena utadhani mm tena
Nitabaki tena mm bado tena nitakuwa mkali sanaa
Ninashuna saana, nakam na mioto
Nadhani moods zangu naifanya kwenye ndoto
Mistari naichapa, yani kwenye motion
I’m gonner kill, i’m gonner kill you all
I’m gonner madder, i’m gonner madder you all
Coz yea coz i’m an arukoo, tukicheza mchezo wa aluta yooh
Ntanitambua, ntanitambua
Sana, mtanijuwa motion sana
Naifanya yote yani kwenye ndoto sana
Watu wote mtajuwa logo ya sanasi
Watu wote mtatutamba eeh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Mkali Sana Arukoo (Single)
Added By : Patrick Lokoki
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE