Aje Lyrics
(Vicky pon dis)
Niko radhi niuze kila kitu changu ee
Kwa ajili yako, kwa ajili yako
Coz we fall in love, fall in love
Hisia zangu zimegonga kwako
Nimefall in love, fall in love
Sijui umeniwekea hirizi
Mpaka naongea peke yangu
Haziniishi zako feelings
Zajirudia
Sijui umeniwekea hirizi
Mpaka naongea peke yangu
Haziniishi zako feelings
Zajirudia
Mwendo wako pole sio fasta (Iyee)
Uku nyuma umeacha disaster (Iyee)
Nipige timing nimpate fasta (Iyee)
Faster yeiyeee
Mwendo wake pole si fasta (Iyee)
Uku nyuma naacha disaster (Iyee)
Nipige timing nimpate fasta (Iyee)
Faster yeiyeee
Baby, aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
Baby, aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
Wanasema hustler hachoki
Nami nishajikoki
Kwa maneno matamu
Eeh na wala sitoskia zao chuki
Sitojali umelala na nani ee
Nitaziziba hadi zangu mboni
Nisione wasichana
Coz you are one in a million
Million eeh
I don't wanna feel lonely
Karibu himaya
Coz you are one in a million
Million ooh million
Mwendo wako pole sio fasta (Iyee)
Uku nyuma umeacha disaster (Iyee)
Nipige timing nimpate fasta (Iyee)
Faster yeiyeee
Mwendo wake pole si fasta (Iyee)
Uku nyuma naacha disaster (Iyee)
Nipige timing nimpate fasta (Iyee)
Faster yeiyeee
Baby, aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
Baby, aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
Aje anione, aje aniliwaze
Aje anione one, aje anione
Aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
Aje, aje anione aje
Aniliwaze, aje aje aje
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Aje (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ABDUKIBA
Tanzania
ABDU KIBA is an artist from Tazania. He is Ali Kiba's younger brother. ...
YOU MAY ALSO LIKE