Home Search Countries Albums

Teleza

34 GVNG Feat. SERONEY

Teleza Lyrics


Madem wanachat eeh eeh pale insta
Wanalike double tap eeh Facebook na Twitter
Huyu dem anachat eeh eeh pon insta
Anadai anakam, huyu mami amejipa

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar  

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar  

Nimewaeleza ni danger, Vuva na Razor
Mguu juu ya meza, venye si hucheza
Ni tatu na nne, na Sero ako in there
Na tenje ni mteja ju niko kwa keja

Mafans wanawika, venye si hutesa
Mziki naeneza tembeza na dere
Wabebe endesha, collabo ni major
Hakuna kucheza, niku-niku

Weka weka nikislide in
Niku teka teka nikisign bill
Jenga jenga bila presha utapenda
Leo mi nakesha, baby nipe tender

Huyu dem anachat eeh eeh pon insta
Anadai anakam, huyu mami amejipa

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar  

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar

Hii verse ni jeneza
Cheki wakisepa, drinks na ketepa
Mangoko kwenye meza, mchekeshe mchekeshe
Gai si ni mtikilish, washa kindukulu
Kai we ni delicious, picky picky ponkie
Manoti kwenye longi, pongi iko soaked in
Dem wa Thika calling, kipussy kilucy
Gai sikigusi, gai sikinusi
Sai akinoti, so mi na slide in

Badmanting badmanting
Hitmanting hitmanting
No wanting no wanting
Nikislide in, its a bad ting

Badmanting badmanting
Sky lurking, sky lurking
No wanting no wanting
Nikislide in, its a bad ting

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar  

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar

Mmmh zimeshika na ki gut
Tangu jana nilistart zikanishow nikuchat
Kwenye Insta nikajam
Mimi pale nikadouble tap

Pressure nayo ka ya pump
Exes wote nilidump
Cz bitches--
Holup eeh baby take a minute

My eyes on you you know that am addicted
First lane we be pushing to the limit
Am that guy, so you know it imma get it
Bad guy, mami yuko ndani mi nadai

Mchezo wa paka panya mi sidai
Ju niko on naeza seti tu kingwai
Tupige tu story tukijenga hiyo vibe
You are too fly aaii, basi mami piga wine

Madem wanachat eeh eeh pale insta
Wanalike double tap eeh Facebook na Twitter
Huyu dem anachat eeh eeh pon insta
Anadai anakam, huyu mami amejipa

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar  

Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar
Nami nateleza, teleza teleza
Ki Nebuchadnezzar 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Teleza (Single)


Copyright : (c) 2019 Bridge Records Ent.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

34 GVNG

Kenya

African Music Crew 34 GVNG (Good Vibes No Gangs) is a music crew based in Kenya made up of artists s ...

YOU MAY ALSO LIKE