Home Search Countries Albums

Enhe Ehee

ZZERO SUFURI

Enhe Ehee Lyrics


Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Ni kubaya Enhe Ehee

Rada ni safi vile naleta (Enhe Ehee)
Sound clear hakuna kuteta (Enhe Ehee)
Mmmmh (Enhe Ehee)
Kumbe mnapenda vile naleta (Enhe Ehee)
Rada ni safi hakuna kuteta (Enhe Ehee)

Kejani kwa kiti last time
Si alinikuta rasta
Nishanukishia bwana ki ngwaka
Zilinishika fasta
So ataniblame, rasta
Player kwa game, master
Look ni safi Tik ya white
Ndio nimedunga sasa

Kigode kejani washa
Kama haikubambi wacha
Vitu zingine vako zingine
Kama ziwezi wacha

Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee

Rada ni safi vile naleta (Enhe Ehee)
Sound clear hakuna kuteta (Enhe Ehee)
Mmmmh (Enhe Ehee)
Kumbe mnapenda vile naleta (Enhe Ehee)
Rada ni safi hakuna kuteta (Enhe Ehee)

Chini ya maji on the low
Kamtoto kanataka doh
Kanataka nikaleweshe
Na bado nikapige show
Mi sipigi show, mi sipigi show

Chini ya maji on the low
Kamtoto kanataka doh
Kanataka nikaleweshe
Na bado nikapige show
Mi sipigi show, mi sipigi show

Kwa hii ligi si hatubahatishi
Tuko kazi ni ka tuko ofisi
Ka ni kukula si hukula kasoo
Hatunaga haja ya ofisi
Ka uko nayo si haitujalishi
Bora bado si tunaishi

Mi na manigga tuko bie
Taka ngori basi tuambie
Sema mahali uko tukuje hadi huko
Na ukuwe na kitu kwa mfuko eeh

Mi sipigi show, mi sipigi show
Chini ya maji on the low
Kamtoto kanataka doh
Kanataka nikaleweshe
Na bado nikapige show
Mi sipigi show, mi sipigi show

Chini ya maji on the low
Kamtoto kanataka doh
Kanataka nikaleweshe
Na bado nikapige show
Mi sipigi show, mi sipigi show

Enhe Ehee, Enhe Ehee
Enhe Ehee, Enhe Ehee

Rada ni safi vile naleta (Enhe Ehee)
Sound clear hakuna kuteta (Enhe Ehee)
Mmmmh (Enhe Ehee)
Kumbe mnapenda vile naleta (Enhe Ehee)
Rada ni safi hakuna kuteta (Enhe Ehee)

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Enhe Ehee (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ZZERO SUFURI

Kenya

Zzero Sufuri (real name Jeremiah Chege) is an artist from Nairobi, Kenya based in Dagoretti.He came ...

YOU MAY ALSO LIKE