Fuego Lyrics

I got a hit, a got a far
I be on my sleeve (Fuego fuego)
Steppin' this sht
Jua ni kubaya know what I mean
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Nimekuja na moto nina kimwaki nazua zogo
Nimetoka soko shika kimali funga kikolo
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Fuego fuego Trio Dinero
Ma area na ngoko amedunga bolero
Na ngozi ya yellow wana kamaneno
Si useti kisensi sio macho kingwelo
Mrazi hujifanya anajua nibaki nimekuchanua
Sanif majani toa vijiti na mbegu
Nyingi utadhani ni ndegu
Nyi makangethe mmeingiza njeve
Vita ya ndenga mmebeba machette
Tokeni teke ficha usee
Mnaeza funikwa kama burukenge
Sikiza mistari nachinja kiwembe
Flow ni the sickest nipe matembe
Natiririka ka manzi ananye...
Vile mnawasha nashuku kaswende
I got a hit, a got a far
I be on my sleeve (Fuego fuego)
Steppin' this sht
Jua ni kubaya know what I mean
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Nimekuja na moto nina kimwaki nazua zogo
Nimetoka soko shika kimali funga kikolo
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
I -----
-----
Form ilijipa na game nintendo
Kama your love ni doh
Basi sitaki upendo
Na vile mimi ninaglow
Ha ooh, sitaki mchezo
Nimelala wamedoz tripple c
Waambie Koded amekam, ako lit
Gonna hate... brand new whip is from Japan
Hio upuzi niliscan
Chenye unasema si understand
I got rocking Jimmy Chuu
I see her she see me too
If she want it, I'ma do
If it's on me then that is true
Am on some money moves
I'm on some gang moves
I got a hood bitch
She got an attitude
She is my destiny
Told that bitch stop testing me
I got a hit, a got a far
I be on my sleeve (Fuego fuego)
Steppin' this sht
Jua ni kubaya know what I mean
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
Nimekuja na moto nina kimwaki nazua zogo
Nimetoka soko shika kimali funga kikolo
Fuego fuego fuego fuego, fuego fuego
Fuego, fuego
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Fuego (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YUNG KODED
Kenya
Yung Koded; is a Kenyan-Us based rapper, singer/songwriter, recording artist and entrepreneur from K ...
YOU MAY ALSO LIKE