Home Search Countries Albums

Wanguvu

KHALIGRAPH JONES Feat. ALIKIBA

Wanguvu Lyrics

Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo

Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo
Na tena nini yoo, na tena nini yoo
(Big Shoutout to Vinc on the beat)

Niko na gari nabebesha ma3 (Oh ma3)
Madem ni sare tunabeba for free (For free)
Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu)
Vile kuko shwari imebidi wametii
Kaa zimekunice basi upige manduru (Upige manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu (Wanguvu)

Mi ndo huletanga vurugu (Vurugu)
Na vile nawaroga chama ni juju (Rah rah raaa)
Sjai kua mnyonge mimi ni sugu (Iyeee)
Na case hujaijua Omolo na Kiba uwanga mandugu (Iyeee)

Niko na pesa na show mi nalipwa mita na nusu
Compen pressure bado unajua wanalipwa marupu
Mashawty wameweza watoto bha kenya wote ni wasupu
Bado tuko Bongo na lazima mi nitapita na mtu

Niko na gari nabebesha ma3 (Oh ma3)
Madem ni sare tunabeba for free (For free)
Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu)
Vile kuko shwari imebidi wametii
Kaa zimekunice basi upige manduru (Upige manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu (Wanguvu)

Chap chap, money chap chap now
You gave me more you make it crap crap crap
Na umenivalia Guci ya G string
Girl I’m not yours to that you kill me (Eeh)
Now sasa tupa (Tupa)
Kiuno tupa (Tupa)
Show them you can tupa (Tupa)
Kiuno tupa (Tupa)
Girl unanibamba sana
Ooh my girl unanibamba sanaa
Niko na gari nabebesha ma3 (Oh ma3)
Madem ni sare tunabeba for free (For free)
Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu)
Vile kuko shwari imebidi wametii
Kaa zimekunice basi upige manduru (Upige manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msee wa nguvu (Wanguvu)

Aaah, mi ni msee wa nguvu, msee wa power
Ndo kuwe this side piga tei na dawa (Ati tei na dawa)
Yeh dawa na tei
Makarao kwa milango battle wana say
Wanataka jua ka natumianga madrei
Lead kila siku ni ka nimepandanga bei
Nipate zaba juu ya shisha mitishamba napraise
Na kila siku ni mazishi mi hulala kwa grave

Niko na Kiba tuko pande za Dodoma tunanice 
But sherehe tunamalizia Dar-Es-Salaam
Mali safi ka ni safi hakuna haja ya intro
Najitokeza nikisema 'habari madam'
Anataka jua ka nimejipin mi nasema yes bwana
Na si eti nimekali magun
Anajua kunifanya ile kitu
Na kila mi hutaka kwenda yufanyia Kariakor

Niko na gari nabebesha ma3 (Oh ma3)
Madem ni sare tunabeba for free (For free)
Maboy wang’are kaa huja tripa huingii (Yeiyee uuuu)
Vile kuko shwari imebidi wametii
Kaa zimekunice basi upige manduru (Upige manduru)
Hizi baraka ni zote za Mungu (Za Mungu)
Mali safi pengi lazima akuwe wa nguvu (Wa nguvu)
Wa nguvu, juu mi ni msela wa nguvu (Wanguvu)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Invisible Currency (Album)

Copyright : (c) 2022

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KHALIGRAPH JONES

Kenya

Brian Robert Ouko better known as Khaligraph Jones is One of the most celebrated Hip Hop artists in ...

YOU MAY ALSO LIKE