Gangster Memes Lyrics

Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Ooh Dodo, Dosh
Niko sema nilipata missed calls
Mi huzima tenje niko riko
Hohohoho
Alah! kabisa walichora
Wali agree nilikwara
Next door neighbour
Alibadilisha simu after Covid
Wah!
Nategea teo wangwa
Street life ni curriculum
Nangojea exams Munga nimeichambua
Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Sa mbona ni, unja ni
Piga mboka mpka mtaani
Dunga ngithe pesa money
Bonya ugali mpaka maini
Cheza rwimbo cheza chini
Ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni
Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Ahahahaha, aiyayayaya...
Ndo iyo ndo iyo
Leta...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Exposed (Munga's Revenge) (Album)
Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/ Rong Rende
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WAKADINALI
Kenya
Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...
YOU MAY ALSO LIKE