Pole Pole Lyrics

(Vicky Pon Dis)
Haya mapenzi hayataki pupa
Nikishtuka ndio kumekucha
Moyo unanisuta suta
Pumzi zinachanja mbuta
Niliacha mbachao kwa mswala upitao
Nimepata fununu unaoa
Uliyempata akikomoa na doa
Imekuwa ya kale
Ila siwezi kosoa nami nakuombea dua
Nilikupenda we jua
Nitapona pole pole, pole pole
Nitapona pole pole pole
Nitapona pole pole, pole pole
Nitapona pole pole pole
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Ulivyoniacha mwenzio, uliniumiza
Nilibaki kilio, ooh ooh
Mbio za sakafuni zimeishia ukingoni
Ulijifanya mhuni ukanihuna hayawani
Kuna mwenzake ananichombeza
Kutwa aishi kunidekeza
Nimejaliwa mwenyewe
Nitakwama na yeye
Nitapona pole pole, pole pole
Nitapona pole pole pole
Nitapona pole pole, pole pole
Nitapona pole pole pole
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
Sitajuta, sitajuta, sitajuta
Sitajuta kukupenda
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Pole Pole (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE