Dilated Lyrics
Ni kama leo mabunduki ndio zilikuwa zinafanya kazi
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa
Sasa sisi, mimi mtu kama mimi sina bunduki
Kwa hivyo DCIO, DCI wakuje atusaidie
(Alex Vice)
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Napiga lap Nairobi maithaa mbaya kama hell ya Covid
Area code ni maili ya saba Android ilipeana mbogi
Kikosi haikosi kusambaa panga, ukiresist kwa lobby
Shori alitaka namba amezoea kuchimba, akachimbe fossils
Walifuatwa kutoka Outta
Wakamadwa Kagundo Road Mowlem
Early sato morning Ali alishtuka Hessy amemoket
Spider weapon gun imported we una AK 47
Usipatwe ogopa open naskia kuna msako baada ya ni saa 7
Leo tuko ndani ya keja hatutoki
Jeshi iko handas na choki
Mbleina alikuliwa toja, toki, talker copper na koti
Jeshi ya Koja, tuko Tom Mboya unless ni bigi missioni
Tourist mwenye aligongwa na hawker akatoboka madollar sorry
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh
Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio
Android ilipigwa tapo chokoch alichumia Landies Road
Si uliambiwa ungafu diro, madam huku hatuko Otedo
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Chuom tunashinda zimecrome na makiller
Anti-terror units si wanajua Munga ni pro man a Driller
Tortoise amphibian ni chura
Bonnie and Clyde ni tuvamie mashuttles
Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee
Juzi nikidandia mathako
Facebook ni Free mode
Usiongelelee air pros
Kama hujaioganga na Omo ama ujipake Kimbo
Usiniambie about struggle
Bonga mafi na we ni wa kukuja
Tumeosha kuzoza labda uume mboch
Umenyonga monkey na uko lockdown
Mpaka umechoka
Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie
Kuna siku Munga nilitry kutetea msee
Huyu ameshikiwa bure
Fck it pingu zililand mi nikafungwa shoe lace
Kwa kina snitch tulibisha
Anadai angejisqueeze na dirisha
Ngeus alidhani tumechat tangu mchana
Amenikalisha mi nashikisha
Fans KOT wanadai kuskia
Miracle baby alidare
This is unfare, shori alikujia kuni
After ashakukula fare
Hii raha ina Corona, nmasuti and tie
Mradi koroga na different supplier
Si hukam na mamacho dilated
O fcourse utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam na mamacho dilated
Ofcouse utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Pullup kwa nduthi pah pah pah
Of course ni mchana
Victim alikuwaga mrahisi kuonekana
Ju anapenda fashion sana
Mi na X boss wangu tulishakosana
Of course nilimsanya
Bro ni Samurai jack akishika panga
Manze ni mkosi team hana
Si guan tumepiga tukisababisha
Mpaka machuja zinatupa
We umekwom na manigga ati kunitisha
Na mi nimekuja na msupa
Kuona maziwa tunafanikiwa
Nyama tunakula na mfupa
Ndom naririma, jaba nashikisha
Pombe tunaikunywa kwa chupa
Kukuja nitakuja manze na mi sitatambua
Juzi mbang'a angenisare but
Nilimuuliza malaya unanishika unanijua?
Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua
Napuliza gunga sababu tosha
Nipe Mola hii sifa na dua
Vibe iko sure, hii ndo masaa ukinicall niko mteja
Hustahili kuzua mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega
Hii kelele iliwalemea
Ndio maana mliamua kuilenga
Kiterere nikiteleza na rende
Lazima kutesa
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
Si hukam na mamacho dilated
Of course utaitana
Karao alihate mabro warelate
Ju mabro marijuana
Nguna ana fake accent
Lakini amejaribu
Ka uko na chest pains
Sasa acha tukujibu tunatibu wivu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Victims of Madness (Album)
Copyright : (c) Rong Rende/ Zoza Nation
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
WAKADINALI
Kenya
Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...
YOU MAY ALSO LIKE