Home Search Countries Albums

Bachelor Degree

WAKADINALI Feat. SCAR MKADINALI

Bachelor Degree Lyrics


Simaanishi vela nikisema nilikuwa nikichoma shule
Kubali we ni beggar ndio nikupe soo ya bure
Let's move it mtatuonea kuleee
Hatuoni haya kwanza nikipull up na suleh

Bitch fool dem, mnaongeza chumvi kwa story ndo watu wakule
Hii ni for real na imeletwa na your truly
Hii ni feelig ya stude akichelewa too late
You can't figure me out
Siwezi fuck a broke bitch akajifingure miaw
Kila stroke ya hii fimbo ni thao
Na usiamini government hio freedom ni yao
Wakule nyama men, mimi indomi how?

Child support is so expensive
I told my baby mama that child is my investment
Na kila time nikichomanga sensi
Nakuja realize saizo mi ya Ngai blessed me
Am a hustler am a gee 
Si ndio wale mangwangi wako na ma Bachelor Degrees

Mama alikukataza wachana na Riz
We umepagawa mthfucker unanimiss
Kama kawa tunapanda zikiwaka ndani ya lift
Kiko na mabong hapa hakunaga riz
Wakidi na wasupa wananiitaga daddy
Na ukileta panganga tunakutukanaga biatch

Nikiwa tire itanuka
Mahali imefika mi mwenyewe najishtuka
Madenge wananisuka
Alidai kunionyesha nikamshow afunge duka
Baby nilikukuta na matuta 
Ukaroll na maboss sai nacheki una future
Mi napush kwa mapusher stash ya kush na supply imeshuka

I miss Gully and my man he was Viable
I was so pained that I never came to your burial
Me you Virusi na Lucy o real nigga shit 
Thats what you remind me of
I told the streets fuckn adios 
I told my nigga you don't need to hate just allow me bro
I took a risk even my mummy knows we ni family
Ka unakumbuka Scar the rhyme know
Washa kinduku ndo nipotee ndani ya kumbukumbu za kitambo
Aki woshee, sikudunga socks ndo manjumu zinitoshee
Na kulia lia iliwanga ngumu labda tokens

Kahawa tungu kuclear tonsils
Oldskul kama managu matoke
Karai viazi teremsha na nazi
Mwaga chini kiasi ndio mababu wapokee

You know me am in the field man
I can't sleep masnitch walinikinda
Being real is a stigma
You can't suck my dick you need to leave ma

Waambie tuko in and out 
Kwa mastenje tumeshinda tuko in and out
Si ndo, si ndo mabwana za mabibi zao
You gotta pay just to see me now
I don't want no freestyle free me now
You are a snitch, you a rat we ni Mickey Mouse
My father said, me when said, I need to leave his house

Nikiwa tire itanuka
Mahali imefika mi mwenyewe najishtuka
Madenge wananisuka
Alidai kunionyesha nikamshow afunge duka
Baby nilikukuta na matuta 
Ukaroll na maboss sai nacheki una future
Mi napush kwa mapusher stash ya kush na supply imeshuka

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Easy (Album)


Copyright : (c) 2022 Zoza Nation/Rong Rende


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WAKADINALI

Kenya

Wakadinali is a Hiphop Rap Group from Kenya Eastlands. Wakadinali members include; Scar Mkadina ...

YOU MAY ALSO LIKE