Home Search Countries Albums

Gat Paid

KING KAKA Feat. NDUME

Gat Paid Lyrics


I just gat paid, I just gat paid
Ambia mdosi amechoma leo ni Friday
I just gat paid, I just gat paid
Kwanzia leo sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka 

Huwa sidrink si mnajua
Hey o Mungu naombea dua
Yaani bado hakuna kitu mpya chini ya jua
Tuko Yolo tu ai jaza pengo
Tuko Molo tu ai ai roadtrip maneno

Sina ndae leo leo, basi leta moti
Kuna bus leo leo, basi leta boti
Na ikishika kwa ploti, tunakanja mawochi
Kula nyama ka una panga ama mwahura
Weka kibenje poa kuna wakora
Umelipwa buda wanakuchora

I just gat paid, I just gat paid
Ambia mdosi amechoma leo ni Friday
I just gat paid, I just gat paid
Kwanzia leo sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka 

Huwa sidrink pia si mnajua
Hey o Mungu nawaombea dua
Siku nyingi tumekuwa kazi
Lakini leo mchezo itajua

Wamekutoka manze jo iza mpaka next time
Manze kanyama ni tumbukiza eh na mbogi ya mine
Cheki roadtrip Nanyuki, boastings masuti
Hujai nipa mablueticks ma bad vibes deuces

Umenifanya naishi, ka si work sidishi
Yesu jikoni mpishi, ishi
Mwili naipa pole, pole
Jeshi yangu ya Oyole

I just gat paid, I just gat paid
Ambia mdosi amechoma leo ni Friday
I just gat paid, I just gat paid
Kwanzia leo sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka Sunday
Sherehe mpaka 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Happy Hour (EP)


Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE