Home Search Countries Albums

Waria

TYCOON TATA Feat. EXRAY, GWAASH, B9

Waria Lyrics


Rungu size yake huwezi jikinga hapa
Msupa amekwara na kidinga papa
Chapa ilale hadi kwa kichaka
Msupa akembwe pia ka anataka aah

Unataka nipple ama unataka vitu simple man
Tikkle tikkle hapo si utadarwa sana
Kiombitho mkikosa si mtakosana
Na kinjiti nimejipin kama Gaza

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Kumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Kumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Kwenye food niko luta mi nadai tu kuzama
Natoa narudisha utajua tu nazama
Nazama nazama, cheza chini tu msupa 
Niko karibu tu kumana
Unachachisha sijaanza 
Ukichachisha sitaacha

Aii aii niko baze na mamorio 
Wanapenda tu kaherbal
Saragongo tuliacha, msaragongo atapaka
Jo najua ham ham lakini sheng ya wajanja

Unataka nipple ama unataka vitu simple man
Tikkle tikkle hapo si utadarwa sana
Kiombitho mkikosa si mtakosana
Na kinjiti nimejipin kama Gaza

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Mkumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Mkumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Tycoon, tycoon nawashika 
Kama zile za nduku nduku
Dem wa kichinjio ni waria
B9 pia hapo adisia

We jifanye lakini najua kenye unataka
Fine gyal ushapanda kiraka
Mi si waggydog lakini nina ubaya na paka
Amesema kingwelo kitawaka

Niko jaba na ye si kahaba
Lakini kuni anapenda bila rubber
Siwezi kujule ni wa kukunjwa
Anashindwa kwani wapi zimesundwa

Waria ebu kuja patia
We nakujua unadai ngwati ya
Unataka njiti na bado uko kwa kiti
Geuka geuka mandume tufanye miti

Uko fine eeh, kwenye kuwhine eeh
Ni wa makali si wa wine eeh
Na anachana, ai apana
Kwanza atajikuta alafu niwai mbana

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Mkumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Magomba si utaitwa waria aah
Tema poko tukuite waria aah
Mkumbe nyuma tukuite maria aah
Mmmh maddam mi ndo ule waria

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Waria (Single)


Copyright : (c) 2019 African Star.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TYCOON TATA

Kenya

Tycoon Tata is an artist, Dj, Producer and a music director from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE