Home Search Countries Albums

Kataniuwa

TOO KELLY Feat. LOLILO

Kataniuwa Lyrics


Katoto kakitamba 
Kanajua nichanganya
Kadiri ninavyohisi 
Mi katanitoa roho

Beiby hallo, hallo, hallo
Beiby you know, you know, you know
If you love me 
I will show you my pockets

Kanajichanua chanua chanua
Kanajipamba pamba pamba
I will show you my pockets
--

Jinsi kanavyofaa(Kataniua) 
Maido ido yake (Kataniua) 
Macho yake (Kataniua) 
Midomo yake (Kataniua) 

Hatari hatari
Haka katoto kataniua
Hatari hatari
Haka katoto kataniua

Wanasemaga eti sitoweza
Eti mapenzi yangu kwako ninacheza
Mpaka ukasepa so so far away
Penzi lanibamba nateswa

Mimi sikuoni nishasepa
Mautamu yananipanda nahema
Huku washikani wakinicheka

Oooh aah, I need you tonight
Oooh aah, give me one more time

Baby tingika loketo
Naunitoka mtoto
Nipe nipe ka mnoto
Mpaka nikutoe utoko

Baby tingika loketo
Naunitoka mtoto
Nipe nipe ka mnoto
Mpaka nikutoe utoko

Jinsi kanavyofaa(Kataniua) 
Maido ido yake (Kataniua) 
Macho yake (Kataniua) 
Midomo yake (Kataniua) 

Hatari hatari
Haka katoto kataniua
Hatari hatari
Haka katoto kataniua

Mapenzi sio karata
Ooh sa na mazigizagi

--
--

Jinsi kanavyofaa(Kataniua) 
Maido ido yake (Kataniua) 
Macho yake (Kataniua) 
Midomo yake (Kataniua) 

Hatari hatari
Haka katoto kataniua
Hatari hatari
Haka katoto kataniua

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Kataniuwa (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TOO KELLY

Congo

Too Kelly is an artist from Congo ...

YOU MAY ALSO LIKE