Home Search Countries Albums
Read en Translation

Yamepita Lyrics


On the Track on the track

It's Walter

Aaaaaah

Yamepita yamepita

Yamekwisha yamekwisha

Yamekwisha yeh yeh

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Niko tayari kuanza mwanzo upya

Niwe kiumbe kipya nizaliwe tena

Iiiii yeh yeh yeh

Yamepita

Chuki na ubinafsi

Yamepita

Wivu na uporaji wa mali

Yamepita

Chuki na ubinafsi

Yamepita

Ukabila na vita

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Mabadiliko haya yamenifaa mie

Baraka zako Baba zimetawala

Uinuliwe uinuliwe

Uinuliwe uinuliwe

Baba Muumba uinuliwe

Baba Muumba uinuliwe

Sifa zikurudie ewe Baba

Muumba wa Ardhi na Mbingu aaaaaah

Iiiii yeh yeh yeh

Yamepita

Chuki na ubinafsi

Yamepita

Wivu na uporaji wa mali

Yamepita

Chuki na ubinafsi

Yamepita

Ukabila na vita

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Mawimbi yote

Yamepita

Unyanyasaji

Umeisha

Iiii yeh yeh yeh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Red Cable Entertainment

SEE ALSO

AUTHOR

Toffee Montana

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE