Home Search Countries Albums

Boss Lyrics


Una miguu independent zimejibebea ass
Wanadai wakupige kuni na we unatumiaga gas
We ni mhumble za bae unagotea waras
TTTTT (Mavo on the beat)

Girl unajisakiaga doh we ni boss
We ndo unawachoraga job we ni pori
Wengine wanataka kuwa wewe ni baller
Na machali wanapenda kukuscore we ni goal

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
Live it up, unajilipia bills
Live it up, unajibuyia drinks

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Hizo zote ni zako hujaborrow
Wengine wakilala my girl hujadoro
Unashinda golddigger hata kwa ugoro
We ndo their leader my girl hujafollow

Kitu poa nampenda ni mthick
Huwezi kumpata tu ju umebeba dick
Stori haikopeshi ata najua ni msick
Lazima ukuwe boss nikuwe namesake

You no pay them attention you pay your bill
Congratulation -- sign that deal 
Single mummy so you play that deal, huh done deal

Girl unajisakiaga doh we ni boss
We ndo unawachoraga job we ni pori
Wengine wanataka kuwa wewe ni baller
Na machali wanapenda kukuscore we ni goal

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Mama mia mi ni boss
Sexy pia pata dose
Wananikanyagia mashosti
Eti nadanga eti nawanga ili nipate kesho
Silali home kusubiri danga
Always on the one nakimbiza chanda

Akili nimejaza vitabu utasema lecture
Nilie kwa ukuu wa dada coz wewe ni fighter
Coz no matter how many times you keep falling
Don't let anybody make you feel like you ain't important
You are an original be like not foreign
Let them keep hanging and the blessings keep falling

Girl unajisakiaga doh we ni boss
We ndo unawachoraga job we ni pori
Wengine wanataka kuwa wewe ni baller
Na machali wanapenda kukuscore we ni goal

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Huyo dem hakuneed, huyo dem anakuwant tu
Ashabuy shamba we kazi ni kulima tu
Usispend doh yako we unaspendigi tu time tu
Ananishuksha kazi ni kuhang tu

Una miguu independent zimejibebea ass
Wanadai wakupige kuni na we unatumiaga gas
Unagotea waras

Girl unajisakiaga doh we ni boss
We ndo unawachoraga job we ni pori
Wengine wanataka kuwa wewe ni baller
Na machali wanapenda kukuscore we ni goal

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
Live it up, unajilipia bills
Live it up, unajibuyia drinks

Niimbie basi live it up, we hukuli fare
Live it up, unajilipia rent
live it up, unajilipia bills
live it up, unajibuyia drinks

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Boss (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

TIMMY TDAT

Kenya

Timmy Tdat  is an award winning recoding and songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE